Magufuli alikuwa waziri enzi ya Mkapa, enzi ya Kikwete lakini anaongea kama mtu ambaye hakuwa sehemu ya utawala hizo!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,001
20,659
JPM ni kama mtu aliyeshuka ghafla kutoka mahali pasipojulikana

Mbona anaongea kama vile alikuwa mtoro kwenye Baraza la mawaziri?

Baraza la mawaziri ndilo humshauri rais,je alikuwa hatoi ushauri?

Nikimsikiliza anaweka mazingira ya kushangaa na anataka kutushirikisha na sisi tushangae

Madini...."hivi ndivyo tulikuwa tunaibiwa.....hivi ndivyo tulikuwa tumefika"

Ninachoamini kwamba,kama tumefika hapa,basi na yeye alikuwa katika kundi la madereva na viranja waliotufikisha hapa,asijitoe,

Baraza la mawaziri ni moja,na wanakubaliana,na yeye ni mmoja wapo
 
Huyu ni mnafiki namba moja tanzania hata wenzake ambaye walikuwa pamoja wanamshangaa anavyojifanya kuwa hakuwa sehemu ya system! I hate hypocrites!!!
 
Sio yeye tu wanasiasa wote sio watu wa kuamini kabisa, wanafanya kitu ili malengo yao waliyojiwekea yatimie. Kuna wengine walituaminisha mamvi ni fisadi lakini badae haohao wakaanza kumsafisha. Cha msingi weka mipango yako thabiti upate pesa usitegemee maneno wanayoongea wanasiasa
 
Mtu akishakuwa Rais madhambi yote yanafutika na hata kama aliua kabla ya kupata urais hawezi kushitakiwa,hata kama alikuwa ameshitakiwa kabla ya kupata urais kesi zake zote zinaondolewa kama za Kenyata na mahakama ya kimataifa.
 
KWASASA TUNAFANYAJE TUMUUNGE MKONO AU MTOA MADA UNATAKA ASIUNGWE MKONO KWA UZI HUU ULIOLETA JUKWAANI?
 
Jpm anakula janga lililochumwa na wenzake, Lowasa anakula janga alilojiandalia akiwa ccm akidhani anawaandalia wapinzani leo naye ni mpinzani, Sumaye anakula janga alilotengeneza akiwa ccm alidhani anawaandalia wapinzani leo zimwi lile linamtafuna, wapi Kingunge?? Wapi Mahanga?? Wapi Nape??
The things you do today will come and haunt you tomorrow!

Binadamu tujifunze, we can not change the past but we can for the future, wanasiasa hasa walio upande usioonewa wajifunze ya Mungu ni Mengi.

Back
Top Bottom