Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu

Kifo cha Akwilina chanzo ni shetani magufuli.

Kama siyo mchezo wake wa kununuwa wabunge wa upinzani kinondoni pasingekuwa na uchaguzi mdogo na Akwila asingepigwa risasi na Polisi.
Kifo cha Mwangosi chanzo ni shetani nani?
 
Alikuwa ni kiongozi hayawani, feshuli na mpumbavu kuwahi kutokea.
Kwamba watu wanakufa kwa korona yeye unakimbilia NYUNGU na Kanisani
Pumbavu kabisa
Wewe ndio mpumbavu, kwanini hiyo Corona mimi haijaniondoa?Toka hizo Propaganda zianze sijawahi tumia sanitizer wala kupoteza muda kuchukua hatua zzt.Kwanini sijafa?
 
Wewe ndio mpumbavu, kwanini hiyo Corona mimi haijaniondoa?Toka hizo Propaganda zianze sijawahi tumia sanitizer wala kupoteza muda kuchukua hatua zzt.Kwanini sijafa?
Hata ukimwi .kuna wengine wanaingiliana na wenye nao lakini hawapati. Be smart
 
Hata ukimwi .kuna wengine wanaingiliana na wenye nao lakini hawapati. Be smart
Wewe ndio uwe smart. Huwez fananisha UKIMWI na Corona hahahahhah. Hakuna Corona zaidi ya Propaganda za Magharibi. Nilikua ktk mazingira hatari sana kipindi kile cha hizo Propaganda za Corona na sikuona lolote la maana kama zile Propaganda za kwenye media.
 
duuh angalia kweny aina zote za uongoz dikteta inalet uchum mapem asa kwa wasio pend kufany Kaz Kam nyie
Punda bila mjeled utasubir xan. anyway n bora utumie njia yoyt ili afike
 
duuh angalia kweny aina zote za uongoz dikteta inalet uchum mapem asa kwa wasio pend kufany Kaz Kam nyie
Punda bila mjeled utasubir xan. anyway n bora utumie njia yoyt ili afike
labda uchumi wa nyukilia kama Urusi lakini hali za wananchi ni hovyo. Warusi wanaishi maisha duni ukilinganisha na wananchi wa Maeneo mengine Ulaya.
 
Wewe ndio uwe smart. Huwez fananisha UKIMWI na Corona hahahahhah. Hakuna Corona zaidi ya Propaganda za Magharibi. Nilikua ktk mazingira hatari sana kipindi kile cha hizo Propaganda za Corona na sikuona lolote la maana kama zile Propaganda za kwenye media.
Alipoingia Samia akasemaje?? Au Samia ni Rais wa TLP??🤣🤣🤣
 
Mlikuwa na Rais kama Magufuli, aliitwa Nyerere. Mengi aliyofanya Magufuli, Nyerere aliyafanya.
 
Kimoja kikubwa nilichokutana nacho humu ni
Umalaya malaya
Chadema kamwe hawawezi kushinda chaguzi zijazo kwa dhihaki kwa Hayati Raisi JPM
Na Chama chechote cha siasa Tanzania. Dhihaki ni umalaya.

Naona huruma kwa roho ya Hayati JPM , Rest In Peace comrade.
...kwa alivyotumika-bila kujua haya yanakuja-umalaya malaya-na wenye uchu wa Madaraka.

Malani au ilani za CCM na Chama chechote kitakacho jikita na Ilani yenye kuonyesha Umalaya Umalaya na kujikita katika miondoko ya Malani vitashindwa tuu
 
JPM ameshaondoka......

Kama mwanadamu yeyote awaye yako aliyopatia na pia mapungufu.....

Hebu mkosoeni aliye HAI....hebu mkosoeni mwenyekiti wenu wa MILELE bwana mkubwa sana FREEMAN MBOWE....ama hana MAPUNGUFU ?!!!!!

Hayati JPM alipangwa na Mwenyezi Mungu kuwa kiongozi na RAIS WETU......na Mungu hufanya AYATAKAYO ILI UNABII UTIMIE.......


#Madaraka Makubwa Hutoka Kwa Mungu Mwenyezi

#Siempre JMT
Usimshirikishe Mungu kwenye mambo ya kifala aliyoyafanya jiwe ktk uchaguzi wa 2020. Acha agongwe na mchwa.
 
LA maana hapa uliloandika ni katiba basi!

Mengine umeandika ujinga uliokujaa kichwani mwako!

Kwamba JPM aliwahadaa hadi WB kutuweka uchumi wa kati?

Pimbi wewe!

Sio uchumi wa kati, bali uchumi wa chini wa kati, tena ni kwa muda mfupi sana. Tungekuwa uchumi wa kati tusingerudi kirahisi kwenye uchumi wa chini. Hivyo jitihada kucha upotoshaji wa kijinga.
 
Nimesoma huo utumbo nilipofika kwenye civid ndio nikajua kweli chadema ni kama kuku, akili hawana na ni wepesi wa kusahau ama wanafanya maksudi.

Kwenye covidi hata waume zenu wamekubali kua huu ugonjwa hauondoki na wameshajiandaa kuishi nao kama ilivyo mafua na magonjwa mengine, jambo ambalo alilisema JPM.

Kwa kua alisema JPM na waume zenu hawakusema basi hamtaki kukubali kua JPM alikua mbele ya wakati.

Uharo Mwingine sikutaka hata kusoma.

Acha kupanick. Jitahidi kuvumilia ukweli.
 
Mungu alipoleta hitimisho nilifarijika sana.
Huwa tu nawaza siku umesimama mbele za Mungu akakuuliza ushahidi kwamba Yeye ndio alifanya hitimisho sijui utamjibu nini?
Nashauri uongee mambo yenu ya siasa bila kuweka statement za namna hi. Kumbuka Biblia inatuasa: "Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu" - Mat 12:36

Unaweza kupiga siasa bila kumtaja Mungu kwenye mambo ambayo huna uhakika!
Ushauri tu, unaweza uchukua au ukaupotezea!
 
Uziwako umejaa kisirani cha ujinga tu hakuna lolote la maana, niushabiki maandazi tu.

Magu ataendelea kuwa kwenye record ya kuwa raisi bora tangia tupate uhuru.

Watu wazalendo walimpenda sababu hakutaka upumbavu kwenye swala la maendeleo ya nchi.

Mtaandika nyuzi za kijinga kamaulivyo andika mwisho maji yakipungua kichwani ndio mtazielewa kazizake.

Tutazielewa kazi zake za kundi la watu wasiojulikana? Alikuwa ni rais muovu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Back
Top Bottom