BJEVI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 1,359
- 251
Ukitaka kujua kimiundombinu tulivyochoka,achana na barabara za mijini na barabara kuu.utajuta kuzaliwa tanzania.TEMBELEA HAYA MAENEO KAMA SAMPLE UELEWE NINACHOKIANDIKA..
Tuanzie same mashariki,
ludewa,
mbozi mash/magh
nzega kwenda tabora mjini,
simiyu,
tabora MJINI hadi manyoni (ITIGI),
katavi
mpanda,
same magharibi,
mwanga kusini,
njombe magharibi,
meatu,
kongwa dodoma,
ismani,
kilolo,
korogwe,
lushoto.n.k
hii ni mifano tu ya zile sehemu ambazo hutamani kupeleka gari zaidi ya trekta na greda.tz bado hakuna barabara ni kero..magufuli anajisifia badala ya kusema ukweli?.72.12% barabara zilizojengwa tumesaidiwa na wahisani hususani ujenzi unaoendelea dodoma mjini na arusha isitoshe kiasi cha fedha kilichotolewa kimechakachuliwa.