ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
Ikiwa ni siku moja baada ya raisi mtarajiwa Edward Lowassa kufanya interview ya BBC leo ilikuwa ahojiwe mgombea wa CCM.
BBC waliahidi hivyo jana na hata leo magroup yote ya whatsapp taarifa zilisambazwa kuwa Magufuli atafanya interview na BBC lakini Magufuli amekimbia.
HAPA KAZI TU,Ahojiwe asihojiwe yeye ndio rais ajaye.Jiandaeni kulialia kwamba mmeibiwa kura
Watamhoji baada ya kuapishwa Kuwa rais mpya wa JMT.
Magufuli atakuwa raisi wa ukoo wenu.
Lowasa atakuwa raisi wa watanzania wote hapo vipi?
Magufuli ameingia mtini kuogopa kuulizwa maswali ya kuuzia hawara zake nyumba za serikali pia bbc hakuna sehemu za kupiga push up.
Ile ya Aljazeera iliishia wapi? Nyani Ngabu
Ukikubali kuwa hujui wala hudharauliki bali utaheshimika kwa kukiri udhaifu.Mbona ni obvious Jana walisema BBC kwamba Leo mh. Magufuli atakuwa in air hata mm nmeshangaa kuona hajahojiwa
Ukikubali kuwa hujui wala hudharauliki bali utaheshimika kwa kukiri udhaifu.
Taarifa ya Lowassa haikuwa live ilirekodiwa zaidi ya wiki moja iliyopita. Zuhura Yunus aliongea na wanasiasa wengi hata wa ubunge.
Mfululizo wa vipindi mahojiano hayo ndio vimeanza kurushwa wakati Zuhura amesharudi London na sasa mtangazaji wa BBC aliyepo Tz ni Salim Kikeke.
Kipindi kilichomuonesha Lowassa kiliandaliwa katika mlolongo wa vipindi vya Dira ya Dunia, hivyo basi kama mtangazaji wakati anahitimisha kipindi cha Dira ya Dunia alisema "kesho ni Zamu ya mgombea wa CCM, Magufuli " maana yake mahojiano yalishakuwa tayari yake fanyika kati ya BBC na Magufuli. Kama hakikarushwa hewani ni jambo lililo ndani ya uwezo wa BBC.
hata kama ingekuwa mimi ile zomeazomea ya leo mchana kutwa ningechanganyikiwa & kula corner tu