Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo. Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana. Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile. Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Wewe unampenda sana Kikwete kuliko anavyojipenda mwenyewe? Umbeya mwingine bwana!
 
Last edited by a moderator:
Magufuli hana hekima angejifunza kwa Lowassa pamoja na kushambuliwa hata na JK yeye hakumjibu. Hata hvyo malipo hapa hapa duniani na JK alimshambulia Lowassa kwa hiyo asikasirike.

Lowassa ni nani Tanzania hii ya leo, Yaani rais ajifunze kwa walioshindwa! za wapi hizo, hata heshima ya waziri mkuu mstaafu imefutika sambamba na mwenzake ziro. Kusema ukweli hakuhutaji uwe unamsema nani na yuko wapi. Wakati wote ukweli ndio unamuweka mtu huru na kwa taarifa yako baada ya ukweli ule hata Kikwete mwenyewe yuko huru
 
Huwa najiuliza sana nini hasa kama taifa tunataka. Sasa hebu ona aibu hii ya mleta mada,,,kwamba Magufuli aendelee kuwalinda viongozi wabovu kisa wamemtangulia
 
Magufuli hana hekima angejifunza kwa Lowassa pamoja na kushambuliwa hata na JK yeye hakumjibu. Hata hvyo malipo hapa hapa duniani na JK alimshambulia Lowassa kwa hiyo asikasirike.
token zenu hapa alaaa
 
Udhalili upi kusema safari za nje mbona hilo ni ukweli sio kudhalilisha watendaji walikua wakijipangia tu wanapoona kwao ifaa bila kijali kama ni upotevu wa pesa za walipa kodi

Na hata swala la kufanyia vikao hotel ni ukweli mtu...eti kikao cha bodi watu wanakaa golden tulip au sea cliff week nzima eti wanajadil bajet ya ofisi....ilhali wote wanaishi dar...hiyo gharama ya kulala na kuamka kila siku hotel si wangepewa hela ya wese walale majumbani mwao...tena wengine hotelin ndio hulala na vimada kbsa....I saw it
 
mnafiki ni nani mkuu? kikwete, mkapa au mwinyi? kwa hiyo wewe unafurahia kuona wazee wetu wastaafu wakidhalilishwa hadharani? you can't be serious mkuu!
Wewe mchonganishi kila mtanzania amesikia maguf njisi alivyo na nia ya dhati ya kulikomboa taifa hili wewe endlea na maigizo yako
 
Mbona huyu JPM akiwa WAZIRI alikuwa anatetea safari za raisi na kusema zilikuwa na tija ndiyo maana mabarabara yamejengwa? Hapo hakuwa mnafiki? Namuunga mkono kupiga marufuku safari za nje zisizo na tija ila naye akiwa waziri alikuwa anamtetea raisi wake. Iweje leo?
Mnalipoka hapa
 
Mkuu, endana na maudhui makuu ya mada. Hatuzungumzii mambo ya Muhimbili, bali hotuba za JPM kuanika mapungufu ya JK huku JK mwenyewe akiwa hapo hapo.

Ht ya muhimbili Kwenye hotuba alitaja..ni mapungufu ya nani ya nyerere? ?,, au museven...ukosofu wa sawa na vifaa tiba Kwenye hotuba hakuongea?
 
magufuli mlokole?mlokole anasali st peters?mlokole anahonga nyumba hawara

Yaliyopita si ndwele...ht shetani aliwahi kuwa malaika people change ht wewe una kasoro zako....Mungu anasamehe tubu usishikilie ya nyuma hutosogea..Kwani ulokole ni NINI.? Ht rwakatale na gwajima ni walokole wana jipya zaidi ya dhulma na mengineyo....mlokole ni binadamu tu dhambi tunasaidiana nao kufanya
 
The Art of War Quotes
Join Goodreads
and meet your next favorite book!
Sign Up Now
? Appear weak when you are strong, and strong when
you are weak.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: deception , life, war
like
? The supreme art of war is to subdue the enemy
without fighting.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: diplomacy , strategy , victory , war
like
? If you know the enemy and know yourself, you need
not fear the result of a hundred battles. If you
know yourself but not the enemy, for every victory
gained you will also suffer a defeat. If you know
neither the enemy nor yourself, you will succumb
in every battle.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: strategy
like
? Let your plans be dark and impenetrable as night,
and when you move, fall like a thunderbolt.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: business , strategy , war
like
? Supreme excellence consists of breaking the enemy's
resistance without fighting.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: politics , success , war
like
? All warfare is based on deception. Hence, when we
are able to attack, we must seem unable; when
using our forces, we must appear inactive; when
we are near, we must make the enemy believe we
are far away; when far away, we must make him
believe we are near.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: deception , strategy , tactics , war , warfare
like
? Victorious warriors win first and then go to war,
while defeated warriors go to war first and then
seek to win
Sun Tzu , The Art of War
Tags: strategy
like
? If your enemy is secure at all points, be prepared for
him. If he is in superior strength, evade him. If
your opponent is temperamental, seek to irritate
him. Pretend to be weak, that he may grow
arrogant. If he is taking his ease, give him no rest.
If his forces are united, separate them. If sovereign
and subject are in accord, put division between
them. Attack him where he is unprepared, appear
where you are not expected .
Sun Tzu , The Art of War
Tags: preparation , security , strategy , tactics , war
like
? Engage people with what they expect; it is what
they are able to discern and confirms their
projections. It settles them into predictable
patterns of response, occupying their minds while
you wait for the extraordinary moment ? that
which they cannot anticipate.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: opportunity , people , predictability , surprise
like
? Thus we may know that there are five essentials for
victory:
1 He will win who knows when to fight and when
not to fight.
2 He will win who knows how to handle both
superior and inferior forces.
3 He will win whose army is animated by the same
spirit throughout all its ranks.
4 He will win who, prepared himself, waits to take
the enemy unprepared.
5 He will win who has military capacity and is not
interfered with by the sovereign.
Sun Tzu , The Art of War
like
? In the midst of chaos, there is also opportunity
Sun Tzu , A Arte da Guerra
Tags: business , strategy
like
? There is no instance of a nation benefitting from
prolonged warfare.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: benefit , war
like
? The greatest victory is that which requires no battle.
Sun Tzu , The Art of War
like
? The art of war is of vital importance to the State. It
is a matter of life and death, a road either to safety
or to ruin. Hence it is a subject of inquiry which
can on no account be neglected.
Sun Tzu , The Art of War
Tags: importance , safety, state, war
Someni hiki kitabu
 
Magufuli alisema hataki unafiki amekuja kutumbua jipu. So embu tulia tu

Haha kweli kabisaaaa zile ten percent walizozoea zinakufa km sio kupungua kalamu ya bic kwa elfu 10....party ni maji juice na soda lol....party za mamilioni wakafanye na bosi wao msoga
 
- Mkuu, mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji ni yepi? Chungu iitwe tamu?

- Badala ya kumpongeza japo kwa uthubutu wa kuyasema aliyoyasema, uthubutu wa kuyaona na kuyakemea, matokeo yake tunamzonga!

-Nilifikiri tumpe moyo "KAGAME" wetu, ili nchi itoke ilipokuwa na isonge mbele kwa speed ya ajabu ili mda wake ukiisha basi, nchi ikabadhiwe kwa anayesema chongo ni kengeza!

- Mpaka sasa, ilitakiwa JK awe amemkabidhi uenyekiti wa CCM JPM, ili tuone kweli amepumzika! Sasa unasema aachwe apumzike wakati yeye hajaacha siasa, hajapumzika uenyekiti.....bado ni mtendaji mkuu katika chama!

- Watanzania tunataka nini? Hivi huoni yale waliyoyatamani ukawa yamezaliwa kwa Magufuli, na yale waliyoyaomba CCM pengine ndivyo Lowasa angetenda?
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo. Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana. Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile. Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

. Sasa kama kikwete alikuwa anatumia mabilioni ya pesa kusafiri wakati anajua ni matumizi mabaya ya lasimali za nchi JPM hasisime....kwanza shukuru kaanza na huyo angeanza na lowass sijui ungelalamikaje
 
Last edited by a moderator:
JIPUUUUUUUUUUUUUUU....mtoa mada umetumbuliwa eeh......tuliaaaa
 
Siasa ya kujengeana heshima ni nzuri kw msitakabali wa diplomasia ya nchi, ila kutokana na kulindiana huko heshima ndiko kumelifikisha taifa hapa lilipo, nadhan suluhisho la kutukanana huku lilikuwa limejengewa misingi kwenye rasimu ya Warioba, bt ccm wenyewe wakaipinga wacha wasomeshane namba wao kwa wao kwanza
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo. Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana. Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile. Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Wewe huenda ni mmojawapo wa wanufaika wa hizo safari ndo maana unaona kadhalilishwa hizo ni pesa zetu kazitumia vibaya lazima apewe ukweli,tatizo mmezoea kubebana bebana bila sababu ifike mahali tuambiane ukweli na huo aliousema magufuli ni ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Yeye pombe aanze upta akiangalia nyuma atapasuka moyo..
Ajipange na watu wapya hakuna kizuri nchi hii kila mahali pabovu..anunue dawa ..hospital ziwe sawa watu wapate maji ya uhakika asianze kulalamika atakwama
 
Back
Top Bottom