Tembea uone dunia ilivyo ndugu yangu. Airport zote zina harufu ya kahawa. Obama kila asubuhi lazima apige kikombe cha kahawa, Angela Meckel vilevile. Kahawa ni kinywaji kinachoheshimika sana duniani. Kama kinachokufanya uchukie kariakoo ni kahawa basi hutaweza kuenjoy jiji lolote duniani.
Matajiri duniani hawakai katikati ya miji ila wanamili biashara katikati ya miji. Tajiri anataka kuwa na estate kuuuuuubwa, ataipataje katikati ya jiji?
Kenya sio Kariakoo, achana na Kariakoo kabisa, fitna zako peleka hukohuko Kenya. Kariakoo kila mtu anakaribishwa ki namna yake akifanikiwa amma anaweza kundelea kuishi hapo amma ana ambaa. Hata Nyerere alipokuja Dar alikaribishwa hapohapo. Mkapa alikaa Livingstone na Ungoni kwenye duka la Amin, mpaka leo lipo na Amin yupo. Ali Hassan Mwinyi alikaa Livingstone, kwenye nyumba maarufu ambayo sasa ni bar bubu ya Pajero.
Kwa uchache tu nakutajia watu hao famous, Kikwete ndiyo usiseme, barza yake ilikuwa Saigon.
Na wote hao wamekuta kila kabila wapo hapo na hawakubaguliwa.
Nakubaliana nawe kwa kuwa wakati unaandika ulikuwa hujanywa chai na hujui mchana utakuwaje. Maisha magumu mpaka yanakimbiza busara.
Eti kariakoo mjini!!!!! Ushamba uliokubuhu. Eneo lenyewe limejaa uswahiliswahili wa kahawa na kashata. Kwa jinsi kariakoo ilivyo na karaha kuna watu wenye uwezo wanaweza kukaa hata miaka mitano hawajakanyaga. Halafu leo eti unajivunia kariakoo mjini, ptuuuuuu!!!!!
Kwa sasa mnaweza kujiona wajanja sana kwa kuishi na wasomali Kariakoo,lakini baada ya muda fulani watakaposhika
mpaka udiwani hao wasomali,ndipo mtawajaua watakavyowakimbiza wazaramo kariakoo.
Nasikitishwa na watanzania wanaofurahia wasomali kujenga majumba Kariakoo,kwa Mkenya
hasa wa Nairobi ukimuuliza kuhusu kero wanayoipata leo toka kwa wasomali maeneo ya Eastleigh
angepigana kuhakikisha hawa jamaa hawamilki mahali,labda kwa mtu asiyejua ukatili wa wasomali.
Wasomali wameshika eneo lote la Eastleigh na kujaza biashara zao na kulifanya lile eneo ni kama
Somalia ndani ya Nairobi,pamoja na jeuri ya askari wa Kenya lakini eneo hili wanafyata mkia.Leo
hii inasikitisha tunafurahia wasomali kujenga maghorofa Kariakoo na pesa yao chafu ya kuteka
mameli,please watanzania na serikali yetu wake up!!!!!!
Hiyo Barza naifahamu vema. Ni moja ya vijiwe chimbuko la diskasheni za Mfumo Kristo
Nakubaliana nawe kwa kuwa wakati unaandika ulikuwa hujanywa chai na hujui mchana utakuwaje. Maisha magumu mpaka yanakimbiza busara.
Dude, bado sijaona point yako hapa....kwahiyo bora wahindi wanaochuma na kuchukua fedha kutoka uchumi wa tz na hawajawekeza wanaexport fedha zote kwenda canada na india? Je kwasababu wao ni weusi au? Ninachofahamu tz inahitaji wawekezaji na hatubagui
Naomba niongeze hapa, Mheshima Sinde Warioba kwao pale Mtaa wa Ndanda ambao sasa hivi umebadili na kuitwa John Rupia, Mtaa huo ulikuwa umesheheni wakubwa, Warioba, kina Rupia, kina Sykes , Kitwana Kondo pia walikuwa na nyumba mtaa huo, sasa hao mafisadi unaosema wewe wametoka wapi? na kwa taarifa yako wenyeweji wa Kariakoo sasa hivi wamestuka wanaingia mikataba na wenye kujenga kwa kifupi Kariakoo ni njema atae na aje ! ili mradi awe mstaarabu... hebu tuache na Kariakoo yetu WIVU UMEKUSHIKA NA SI LENGINE ! nenda na wewe kaanzishe KariakooB ILI LIJE KABILA UNALOLITAKA !
Kwa sasa mnaweza kujiona wajanja sana kwa kuishi na wasomali Kariakoo,lakini baada ya muda fulani watakaposhika
mpaka udiwani hao wasomali,ndipo mtawajaua watakavyowakimbiza wazaramo kariakoo.
Hili suala ni nyeti sana,
Rafiki yangu mmoja wa Hazina kaniambia baada ya kuona majengo yanaibuka kama uyoga mitaa ya Kariakoo, serikali ikawatuma wakaulize na Kenya, nao kumbe wana same problem. Conclusion ikawa ni fedha chafu za Wasomali zinatakatishwa.
Skia Bubu,Wasomali waliokuwa wanateka meli mbali mbali za usafirishaji mafuta na bidhaa nyingine muhimu wametengeneza pesa haramu nyingi sana. Mashirika mengine yalikuwa yanalipa hadi $10million in cash ili kukomboa meli moja na kipindi kile waliziteka meli nyingi sana. Sasa wanaenda katika nchi mbali mbali za afrika hasa Afrika Mashariki kuzitakasa pesa zao haramu kwa kuwekeza sehemu mbali mbali hasa ununuzi wa nyumba. Tungekuwa na Serikali na vyombo vya dola makini vingewafuatilia wasomali hawa ili kujua vyanzo vya pesa chungu nzima ambazo wanaingiza nchini, lakini kwa kuwa tuna Serikali na vyombo vya dola DHAIFU wasomali na pesa zao haramu wanapeta tu.
Watanzania wenye mapenzi na nchi yetu wakianza kuhoji mfumuko wa wasomali hawa na wageni wengine mbali mbali nchini huonekana ni Wabaguzi wa rangi!!!!