Angalia mambo ya msingi uliyoyafanya kwa hiyo miaka nane uliyopumzika ndipo utajua pombe ni hasaranilipumzika kwa miaka 8 lakini nikama nimeanza kurudi vile
1Wakorintho6:9-11 ''9Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,Amri ya ngapi?
Yangeandikwa na mababu zangu ningeyaamini. Haya ya kuja kwenye boti na merikebu? Nani aliandika na nani shuhuda wa maandiko hayo. je Yesu alikuwa mjinga kutengeneza muujiza wake wa kwanza kule kanaani yaani wa mvinyo? Uyahudi ndo kunalimwa zabibu nzuri tu na mvinyo ni kinywaji bora kwa Mediterranean countries zote. Watu tunapata communio kwa mvinyo halafu unasema hayo. Sema ulevi ndo mbaya ila kunywa tutakunywa tu.1Wakorintho6:9-11 ''9Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
11 Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu''
Hahaha ni kweli ulevi ni kama Uchawi once unaingia usitegemee kutokaYangeandikwa na mababu zangu ningeyaamini. Haya ya kuja kwenye boti na merikebu? Nani aliandika na nani shuhuda wa maandiko hayo. je Yesu alikuwa mjinga kutengeneza muujiza wake wa kwanza kule kanaani yaani wa mvinyo? Uyahudi ndo kunalimwa zabibu nzuri tu na mvinyo ni kinywaji bora kwa Mediterranean countries zote. Watu tunapata communio kwa mvinyo halafu unasema hayo. Sema ulevi ndo mbaya ila kunywa tutakunywa tu.
cc: Mrangi, mshana jr.
Ingekuwa hivyo basi Warusi ambao ndo wanaongoza kwa kunywa pombe kali wangekufa saana, Toka enzi za Yesu, Mababu pombe ilikuwepo, sema tu mfumo wa maisha ya siku hizi umesababisha miili ya watu wengi kushindwa kuhimili pombe sababu watu hawafanyi mazoezi kusaidia mfumo wa mwili kutoa sumu na viwango vya virutubisho vinavyozidi katika mwili ambacho hupelekea organs za mwili kufeli/kufa, ila ulimwengu bila pombe haiwezekani ndo burudani nzuri kuliko zote zilizopo.Hata niambiwe nakufa kesho leo siwezi acha kunywa pombe...maisha si lolote bila pombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo mlevi ni mnywaji ninayejitambua na ninayeendesha maisha kuliko hata hao walokole wanaoacha kutafuta pesa na kazi wanashinda makanisani na kwenye misikiti. Uchawi unaujua mwenyewe na sijui kama wachawi watakuelewa maana wengi wanauacha huo uchawi ila uzezeta wa kukumbatia dini bila maarifa ndo hatari.Hahaha ni kweli ulevi ni kama Uchawi once unaingia usitegemee kutoka
Kanywe maji saana tu tutakutana huko mbeleni. Isije wewe ukatangulia sisi wanywa pombe unaotuita walevi. Ukiangalia watu wanaoishi maisha marefu ni wataliano, wafaransa, wachina na hawa ndo wakata maji kuliko.Mmm sidhani mana wangeanza kuwachukia watengenezaji sigara kwakua mpaka onyo wanaandika kama ni hatari kwa afya, ila wao wala hawana wasi wasi Pombe haiachiki ni addiction
unaishtaki pombe unashadadia soda?? kwanza unazungumzia pombe zipi??Ila mkuu wastani wa kunywa soda ni chupa moja kwa siku ya mls 600, hapo unakua safe kabisa, ila Pombe hata kiwango kidogo tu kina madhara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufa ni kufa tu iwe kwa ngoma au dufu mwisho wa siku you gonna dieeee!!!
Wala warafi.... Ukila sahani mbili za ubwabwa wakati kawaida yako ni moja... Huwezi fika mbinguni1Wakorintho6:9-11 ''9Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
11 Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu''