Umesahau ya Kimara nayo imeanza cracksTanga-Horohoro (awamu ya 4) bado nzima. Songea -Tunduru-Masasi (awamu ya 4) nzima. Nilikuwa Dom miezi kadhaa nyuma, barabara zake hata miaka mitatu bado lakini tayari mbovu.
😆😆😆😆😆[emoji38][emoji38][emoji38]
Zitaje na hizo nyingine kama ulivyoitaja chalinze-morogoro.
My point is, siyo kila kitu kiamriwe na Rais kuna mfumo mzima wa utawala ambao unatakiwa kuchukua hatua.Rais ni zaidi ya waziri ....ingekuwa tuna sema mjumbe wa nyumba kumi sawa ...nyinyi ndiyo mnadhani kazi ya Rais ni kujaza [emoji90] ikulu na kushoot muvi ....kwani kazi ya RAIS NI KUTENGENEZA MUVI TU .? SASA KATI YA KUTENGENEZA MUVI NA UHAI WA WATZ KIPI BORA KWA RAIS UNAYE MTAKA WEWE
Magufuli aliwachukulia hatua gani wale waliojenga Magufuli Hostel?Kama achukui hatua kwanini asilaumiwe ...kata vichwa hao wajenzi wote
Rais Samia cha mno alimalizia rangi na madogo madogo structure zilishajengwa na mwendazake, mtoa mada ungeandika hili wakati akiwa hai ungesha potea kitambo sana, jamaa hakupenda kabisa madudu yake yawekwe wazi.SASA BROTHER, HIYO CRACK YA FLOOR TATIZO TANGIA MWANZO WA UJENZI NA SIO FINISHING?.
MAREHEMU ALIKUWA HAI KWENYE HIZO STAGE ZOTE ZA MWANZO KUANZIA STRUCTURE NAFIKIRI ALIONDOKA IKIWA IMEBAKIA SEHEMU NDOGO SANA.
HAYA NI MADHARA YA KUHARAKISHA MAMBO YA KITAALUM NA KUFORCE BUDGET NDOGO IFANYE KAZI.
Hesabu idadi ya nyumba zilizopo hapo halafu upige mahesabu kupiga plaster kuweka umeme, Maji, kupakarangi decor garden na vyote hapo vingechukuwa muda gani? Pengine almost 2yearsVitu vidogo visingechukua mwaka mzima.
Sawa sawa mwaisa mama watotoFact Kabisa Mkuu hizo Flow tangu Jpm akiwepo zimejengwa Mama kamalizia vitu vidogo Sana.
Kwani hapo magomeni kota mnalipa kodi ama ni bure,kama hamlipi kodi basi ni sawa mlivyofanyiwaAngalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.
Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.View attachment 2309201
☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.
View attachment 2309207
☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.
View attachment 2309214
☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.
Ukiondoa hayo, tulipewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Baada ya miaka 5 unafanyika windup finishing ya nguvu ndipo sasa wenye hela wanakuja kuishi hapo luxuriousKwani hapo magomeni kota mnalipa kodi ama ni bure,kama hamlipi kodi basi ni sawa mlivyofanyiwa
kwa zile jamii za wakazi wa magomeni kota kuziendesha zile nyumba hawataweza kumudu gharama,zile nyumba usafi wake sio mtu mmoja kufanya ni kampuni kupewa tenda kama ni usafi,je hao wananchi walivyo waswahili kulipia service charge kwa ajili ya kuendeshea majengoi hawawezi.....usemacho ni ukweli kabisa mwisho wa siku wenye hela zao watapewa izo nyumba waishiBaada ya miaka 5 unafanyika windup finishing ya nguvu ndipo sasa wenye hela wanakuja kuishi hapo luxurious
Hizo ni expansion joints usijaliAngalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.
Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.View attachment 2309201
[emoji1489]Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.
View attachment 2309207
[emoji1489]Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.
View attachment 2309214
[emoji1489]Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.
Ukiondoa hayo, tulipewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Hizo lawama zishaanza naona kuna uzi wa kulalamikia kutozwa gharama za usafi na garden.kwa zile jamii za wakazi wa magomeni kota kuziendesha zile nyumba hawataweza kumudu gharama,zile nyumba usafi wake sio mtu mmoja kufanya ni kampuni kupewa tenda kama ni usafi,je hao wananchi walivyo waswahili kulipia service charge kwa ajili ya kuendeshea majengoi hawawezi.....usemacho ni ukweli kabisa mwisho wa siku wenye hela zao watapewa izo nyumba waishi
zile nyumba ukiziangalia ni special kwa watu wenye kazi na biashara zao,unalipia service charge unafanyiwa usafi na garden pia genereta ili kulifanya jengo kubaki na usafi wake muda wote,ila hao wakazi wa pale wengi wao ni waswahili sanaHizo lawama zishaanza naona kuna uzi wa kulalamikia kutozwa gharama za usafi na garden.
Subiri na madarasa ya SSHMajengo yalijengwa kwa haraka/kulipua.Vifaa kama saruji ijengwapo inahitaji muda wa kumwagiwa maji na iachiwe muda kuimarika.Vilevile mbao zinahitaji ikauke vizuri,kuwekwa vipimo sahihi na ufundi mzuri ili kutoa matokeo mazuri.Hapo ulifanyika ulipuaji,malipo hafifu na pupa ili kumfurahisha mtu mmoja.Leo hii ukimuangushia lawama fundi unaonekana kapuuzi tu.Tujifunze kuheshimu taaluma za watu na kutoendesha mambo kwa mizaha.
ccm wote ni ndugu wenye nia ovu na wananchi.SASA BROTHER, HIYO CRACK YA FLOOR TATIZO TANGIA MWANZO WA UJENZI NA SIO FINISHING?.
MAREHEMU ALIKUWA HAI KWENYE HIZO STAGE ZOTE ZA MWANZO KUANZIA STRUCTURE NAFIKIRI ALIONDOKA IKIWA IMEBAKIA SEHEMU NDOGO SANA.
HAYA NI MADHARA YA KUHARAKISHA MAMBO YA KITAALUM NA KUFORCE BUDGET NDOGO IFANYE KAZI.
Kabisa...ni wale waliyozoea kuka vibarazani kuanzia asubuhi mpk jionizile nyumba ukiziangalia ni special kwa watu wenye kazi na biashara zao,unalipia service charge unafanyiwa usafi na garden pia genereta ili kulifanya jengo kubaki na usafi wake muda wote,ila hao wakazi wa pale wengi wao ni waswahili sana