pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,249
TBA Mungu anawaona
Kwamba alieanzisha hili la ujenzi hakujua hawa ni waswahili au amewafanyia makusudi akijua hawa ni waswahili tu watashindwa na wazungu watakuja kuishi hapo?Wataondoka wenyewe..hawana uwezo wa kumaintain hali ya usafi na utilities zingine katika hizo kota..mbona wataziachia wenyewe..tangulini msawahili akaishi kwenye magorofa..soon watarudi mwanayamala ndio makazi yao yaliko wakacheze vigodoro.
#MaendeleoHayanaChama
Hayo ndiyo matokeo ya kukurupuka kwa Magufuli kwenye mamiradi yake alivyokuwa anataka sifa. Kilichotokea kwenye hostel za UDSM (expansion joint) ndicho kinatokea hapa Magomeni flats na kitatokea kwenye majumba yote yaliyojengwa na TBA/ JKT.Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.
Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.View attachment 2309201
☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.
View attachment 2309207
☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.
View attachment 2309214
☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.
Ukiondoa hayo, tulipewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Aliwafanya nini zaidi ya kumkamata yule aliyetoa taarifa za kuharibika kwa hosteli na kumbambikiza kesi?Kawatafute watakuambia kuwa jpm ni shetani ...kisha watakuambia bora alivyo kufa ...kisha utawasikia wakikuambia kama unampenda kazikwe naye chato ...hapo ndiyo ujue kuna kitu mbaya aliwatenda wahuni wote wasiopenda uzalendo.
Ila kwenye swala la magufuli mimi naona bado alikuwa mpole sana alitakiwa kuwa mkali na mkatili ili nchi inyoooke ....WATANZANIA TINATAKA FULLCAPACITY DICTATOR MZALENDO
Bagamoyo road imejengwa awamu ya 3Zitaje na hizo nyingine kama ulivyoitaja chalinze-morogoro.
Hao type ya watu walipewa hizo flats......na miundombinu waliyowekewa, mie naona ni wachache tu watakaoweza kutimiza masharti ambayo kwenye nchi za wenzetu, kwa kawaida huwa yanawekwa na estate company inayorun flats ili kumaintain infrastructure /miundombinu iliyowekwa.....,kwa waswahili mie naona inaweza kuwa changamoto.... kazi iendelee.Kwani hapo magomeni kota mnalipa kodi ama ni bure,kama hamlipi kodi basi ni sawa mlivyofanyiwa

Umelipia shillingi ngapi kuipata hiyo flati.Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.
Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.View attachment 2309201
☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.
View attachment 2309207
☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.
View attachment 2309214
☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.
Ukiondoa hayo, tulipewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Kwa hiyo wewe ni moangaji?Mkataba wangu na mwenye nyumba nikuwekee hapa ili ikusaidie au unisaidie nini kijana wangu?.
"hizo Flow" ndio nini?Fact Kabisa Mkuu hizo Flow tangu Jpm akiwepo zimejengwa Mama kamalizia vitu vidogo Sana.