Kumbe ulikuwepo wkt mnajenga, mkaiba za kutosha leo ndiyo unakuja kupalilia kuwa ni toka wkt wa ujenzi wa floor na marehemu alikuwepo.SASA BROTHER, HIYO CRACK YA FLOOR TATIZO TANGIA MWANZO WA UJENZI NA SIO FINISHING?.
MAREHEMU ALIKUWA HAI KWENYE HIZO STAGE ZOTE ZA MWANZO KUANZIA STRUCTURE NAFIKIRI ALIONDOKA IKIWA IMEBAKIA SEHEMU NDOGO SANA.
HAYA NI MADHARA YA KUHARAKISHA MAMBO YA KITAALUM NA KUFORCE BUDGET NDOGO IFANYE KAZI.
Sasa wasiliana na wahusika na muwaonesho huzodosari wazifanyie kazi
SOMA HII HAPA...Hiyo floor hata tiles haijawekwa au ni sehemu gani hapo? 👉🏾Soma paragraph ya mwisho kwenye maandiko ya buluu hapo chini.
JP alikuwa mwizi sanaMarehemu alitaka ipigwe tiles. Walioachiwa wakaona isiwe shida. Wakapiga cement. Mchanga mwingi cement kidogo. Sie tuliyajua hayo.
🤣🤣🤣Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.
Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.View attachment 2309201
☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.
View attachment 2309207
☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.
View attachment 2309214
☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.
Ukiondoa hayo, tulipewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Wanasema usilolijua ni usiku wa kiza kinene.Mambo mengine madogomadogo mnatakiwa mfix wenyewe
[emoji38][emoji38][emoji38]expansion joint, tuna rasilimali kidogo na bado tunazitumia vibaya
Kwa muonekana huo hapo kutakuwa kila mtu na luku yake kweliHatari maghorofa kwa nje mazuri. Kumbe ndani hata tiles hakuna.
Umeme na maji mnachangia kama wapangaji wa uswahilini ama kila mtu ana Luku yake?
Usifananishe UJINGA NA VITU VYA KIPUMBAVUMama sio Mjinga Kama unavyofikilia
Rais ni zaidi ya waziri ....ingekuwa tuna sema mjumbe wa nyumba kumi sawa ...nyinyi ndiyo mnadhani kazi ya Rais ni kujaza [emoji90] ikulu na kushoot muvi ....kwani kazi ya RAIS NI KUTENGENEZA MUVI TU .? SASA KATI YA KUTENGENEZA MUVI NA UHAI WA WATZ KIPI BORA KWA RAIS UNAYE MTAKA WEWEHuyu Mama Samia ndiyo Waziri wa Ujenzi au vipi? Mimi sijaelewa hapo.
Baadae mutamuamrisha awe anachapa viboko walimu watoro na walevi.
Kama achukui hatua kwanini asilaumiwe ...kata vichwa hao wajenzi woteWafuasi wa Magufuli ni mazezeta ya kiwango cha aina gani? Yaani hizo nyumba zilijengwa kipindi Magufuli ndio Rais ila ubovu wake analaumiwa Samia..! Zile hosteli za Magufuli UDSM mbona zilipata ufa kubwa miezi michache tu baada ya Magufuli kuzindua? Tena aliyeanika ubovu wake akakamatwa?
Expansion joints..[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo akili yako imeshikiliwa na marehemu? Kwanini unaamini kitu kilichokufa unaacha kilicho haiMarehemu alitaka ipigwe tiles. Walioachiwa wakaona isiwe shida. Wakapiga cement. Mchanga mwingi cement kidogo. Sie tuliyajua hayo.
Engineer aliyejenga moro chalinze nyoko....ila nafikiri ni mzungu kama sikosei alikuwa anaishi kule forest kwenye ile dutch compound na alikuwa kila leo ana drive kwenda site.Anashangaa majengo yaliyojengwa awamu ya 5!
Shangaa pia barabara zilizojengwa awamu ya 5 zinavyoharibika mapema wakati kuna barabara zilijengwa awamu za nyuma bado ziko imara. Mfano barabara ya Chalinze - Morogoro ilijengwa awamu ya 3 lakini mpaka leo bado ni imara.