Maghorofa ya Magomeni Kota hayana Viwango?

Kama ni hivyo ...nini kifanyike si walio jenga wapo ...sisi hatutaki kekele mainjinia na kampuni zilizo jenga zipo sasa kinamshinda nini SA100 kutoa comandi wakamatwe na kusekwa ndani hadi uchunguzi ufanyike ...kisha wapewe agizo la kuvunja na kujenga upya kwa gharama zao
Huyu Mama Samia ndiyo Waziri wa Ujenzi au vipi? Mimi sijaelewa hapo.

Baadae mutamuamrisha awe anachapa viboko walimu watoro na walevi.
 
Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.

Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.
View attachment 2309201
☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.

View attachment 2309207

☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.

View attachment 2309214
☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.

Ukiondoa hayo, tulupewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Sio ajabu tangu lini tanzania tukawa seriouz na miradi muhimu..!
 
Wafuasi wa Magufuli ni mazezeta ya kiwango cha aina gani? Yaani hizo nyumba zilijengwa kipindi Magufuli ndio Rais ila ubovu wake analaumiwa Samia..! Zile hosteli za Magufuli UDSM mbona zilipata ufa kubwa miezi michache tu baada ya Magufuli kuzindua? Tena aliyeanika ubovu wake akakamatwa?
Expansion joints..😂😂
 
Marehemu alitaka ipigwe tiles. Walioachiwa wakaona isiwe shida. Wakapiga cement. Mchanga mwingi cement kidogo. Sie tuliyajua hayo.
Marehemu alitaka ijengwe kama zilivyojengwa zile hosteli za UDSM zenye expansion joints...
 
Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.

Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.
View attachment 2309201
[emoji1489]Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.

View attachment 2309207

[emoji1489]Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.

View attachment 2309214
[emoji1489]Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.

Ukiondoa hayo, tulupewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Sasa wasiliana na wahusika na muwaonesho huzodosari wazifanyie kazi
 
Naiona Expansion joint hapo
 
Hiyo kitaalamu inaitwa Expansion joint nyumba lazima ipumue mkuu
 
Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.

Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.
View attachment 2309201
☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.

View attachment 2309207

☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.

View attachment 2309214
☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.

Ukiondoa hayo, tulupewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
Haya ni mambo ya kitaalam ya Expansion Joints.

Kamanda Muliro kama huyu kijana😀😀
 
Majengo yalijengwa kwa haraka/kulipua.Vifaa kama saruji ijengwapo inahitaji muda wa kumwagiwa maji na iachiwe muda kuimarika.Vilevile mbao zinahitaji ikauke vizuri,kuwekwa vipimo sahihi na ufundi mzuri ili kutoa matokeo mazuri.Hapo ulifanyika ulipuaji,malipo hafifu na pupa ili kumfurahisha mtu mmoja.Leo hii ukimuangushia lawama fundi unaonekana kapuuzi tu.Tujifunze kuheshimu taaluma za watu na kutoendesha mambo kwa mizaha.
Yule mzee vision yake ilikuwa kupamna ana upinzani tu. Mambo mengi alifeli
 
Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya vita ya Kagera.

Nilipita kuangalia kwa majirani wenzangu hali ni hiyo hiyo, baada ya kuuliza naambiwa baada ya yule baba kufariki basi ikawa ni mwendo kasi ili kukamilisha ujenzi.
View attachment 2309201
☝🏾Huo ni mlango haupo balance na mwenzake, yaani mtu ukiwa umefunga unaweza kupitisha mkono.

View attachment 2309207

☝🏾Sehemu ya ubao unaoshika ukuta, yaani hapo walishamaliza kazi na ndiyo maisha yanaeneelea hapa tunaishi.

View attachment 2309214
☝🏾Yaani hiyo ni sakafu, tayari kuna ufa soon naweza kumchungulia aliye floor ya chini akiwa kalala na family yake!.

Ukiondoa hayo, tulupewa miezi sita tutumie maji, umeme, ulinzi, watu wa usafi bure ili kupima matumizi yetu yatakuwaje ila sasa, kwa hali iliyopo maji yanazidi unga, soon tunafukuzwa humu. (JPM)
TBA ni taasisi inayofanya kazi chini ya kiwango sana. Haitakiwi kupewa kazi hata mara moja.
 
Hizo sehemu unazoziona zitajiziba zenyewe tofari zitakapokomaa na kukauka.
 
Zama za Mwamba wa Sukuma gang ungeshakuwa umetekwa
zamani sana yaani saizi ndugu
zako wangeenda Baharini
kutafuta vifurushi vipya 🤣🤣..
Unamdhalilisha Mwamba.
Ndugai masikini alitaka kumdhalilisha Mama, akapata laana akajikuta mwenyewe tu anaachia uspika. Funzo kwa wengine ukitaka kumdhalilisha Mama lazima uogope kupata laana kama Ndugai.
 
Back
Top Bottom