Maggid mjengwa umepata wapi kibali cha kutafasiri kitabu cha mandela cha long walk to freedom?

Inspector Haroun babu alipoishiwa mashairi alikuwa akisubiri wenzie watunge nyimbo yeye azijibu kwa melody ile ile. Huenda Maggid akawa kafika ukomo wa ubunifu so kaamua kuwa ana edit articles za wengine ili kutuliza enzymes tumboni na siku ziwe zinasogea.
Tabia hizi hazimpandishi mtu bali kumshusha. Wanaomfahamu huyu mwanamuziki aliyejiita Inspector watakubaliana na mimi kwani alipoanza tabia hii alishuka moja kwa moja hadi hivi sasa hayupo kabisa kwenye ramani ya bongoflava.
Mjengwa watch out, utapotea.
 
What problem are we trying to solve kwenye hili?

Je, lengo ni kutaka familia ya Madiba alipwe?

Je, lengo ni kutaka Maggid ashitakiwe?

Bado sijaelewa kinachotafutwa ni nini!
 
Kwani wewe ndio hatimiliki wa madiba?

Una mtetea kwa lipi? alichofanya Mjengwa ni kutafisiri neno to neno ya kitabu cha MADIBA. Sasa tujiulize utaratibu huu unaruhusiwa? au Mjengwa ameiga kama hawa watafisiri wa mikanda akina LUFUFU.
 
wasiwasi wangu ni kuwatafsiria ndivyo svyo wasiojua kidhungu,si unajua kiingereza cha waandishi kanjanja kama mjengwa ni cha ugoko!
 
Naongea km expert wa Intellectual Property. Kutafsiri au kufanya translation ya copyrighted work ya mtu ni makosa endapo kunafanyika bila consent au licence ya copyright owner au warithi wake. kutafsiri ni kutengeneza kazi inaitwa kisheria derivative work, ambayo kimsingi inategemea kwa kiasi kikubwa subsisting work-yaani kitabu cha Mandela.
In other words anayetafsiri hana ubunifu anaoufanya zaidi ya kudublicate kazi ya mtu katika lugha nyingine. Ni tofauti na anayefanya analysis au review ya kazi ya mtu-huyu anaweza kufanya hivyo bila ruhusa ya mwenye hakimiliki.
Copyright protects expression of ideas. So anayetafsiri anaexpress ideas in the same way km original author save that he does so in a different language. A reviewer does so in his own expression. So mtoa hoja ana mantiki ya nguvu sana kisheria ukisoma sheria yetu ya Copyright and Neighboring Rights Act and the Berne Convention.
 
Ndugu yangu Maggid Mjengwa nimeona tangazo lako la uzinduzi wa kitabu unachodai umekiandika au umekitafsiri na kukiita jina la "SIMULIZI ZA MZEE MADIBA". Simulizi hizi kwa asilimia zote umezitohoa au umezidurufu kutoka kitabu cha Mzee Mandela kiitwacho "LONG WALK TO FREEDOM" cha mwaka 1995 kilichochapwa na Kampuni ya Abacus. Lakini katika tangazo lako hujasema kama umepata kibali cha kutafsiri kazi ya marehemu Nelson Mandela kabla hajafa, kutoka kwake mwenyewe, au kutoka kwa wanafamilia ama wachapishaji, au mwenye kushikiria haki miliki (kampuni au mtu binafsi).

Assurance ya haki miliki ni swala muhimu sana kwa sasa ili kulinda kazi za wabunifu, ili kazi zao zisidurufiwe (copied) au kutafsiriwa hovyo hovyo kwa ajili ya kuwanufaisha watu wengine nje ya mbunifu/wabunifu au mwenye haki miliki. Sasa najiuliza hivi mauzo ya kitabu ulichokichapisha cha "Simulizi za mzee Madiba" utawafikishia wanafamilia wa mzee Mandela au unakusudia kufanyia nini mapato yatakayotokana na kazi ya marehemu Nelson Mandela ambayo sasa wewe umetumia uwezo wako wa kuihamisha kwa namna kutoka kiingereza hadi kwenye kiswahili? Nitapenda nipate uwazi wa dukuduku zangu hapo juu ili hata kama nahudhuria uzinduzi wako nakuja kwa moyo mweupe, ili nisije kuendeleza plagiarism au copyright violation!!!

TeaM Majungu at work. Acheni atafsiri, watoto wetu wapate kusoma historia ya shujaa wa Afrika.
 
Mkuu Makologoto

Huyu Maggid ni mwandishi mwenye uwezo mzuri tu wa kuandika, lakini maandiko yake siku hizi yamepwaya sana, sitoshangaa nikisikia amebadili 'ideology' yake ya kuandika anachoandika. Kwa mfano hiki anachoita kitabu cha simulizi za mzee Madiba, kwa zaidi ya asilimia 85% ametumia idea za waandishi wa Long Walk to freedom lakini haja-acknowledge source. Sasa ndio nashindwa kuelewa credibility ya kazi za Maggid. Halafu kesho na keshokutwa utasikia maneno ati kazi za waandishi wa Tanzania hazithamini kwenye majukwaa ya kimataifa. Hatari sana hii
 
napata raha sana kuona nijinsi gani watu mnaelekezana kwa utaratibu kwa facts zenye msingi. Naona tamaa sana maana mm nipo nasoma certificate in law. Hongeren sana na mungu awapeni mioyo yakutakiana mema katika maisha yenu. Tuendelee na mada.

Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
kweli??ngoja tuone....

kwani wewe ndio hatimiliki wa madiba?
wow,what a fact!!!

kama ndiye au siye, jibu halibadilishi hoja.

well said..
 
maggid ni Mwana habari Kanjanja.
Binafsi naomba kujua Elimu ya huyu Mtu.
No wonder hata translation ya hicho kitabu from English to Kiswahili ikawa kituko cha Karne na Kupoteza Maudhui yote ya kwenye kitabu Cha Mzee Madiba
 
Last edited by a moderator:
What problem are we trying to solve kwenye hili?

Je, lengo ni kutaka familia ya Madiba alipwe?

Je, lengo ni kutaka Maggid ashitakiwe?

Bado sijaelewa kinachotafutwa ni nini!
Kiongozi habari za pilika? huku Kinole hatujambo, mafenesi tu yamejaa. Hapa watu wanajadiliana juu ya weledi katika uandishi mintarafu kuzingatia sheria husika katika kutunza hakimiliki na mambo kama hayo. Ni ya msingi majadiliano haya na yanaonyesha upeo mbalimbali katika jambo hili. Kumbe kwa sisi tuliozoea kujadili mambo ya siasa ama ya dini tunapewa kitu kipya kabisa chenye maendeleo kiakili.
 
Hivi suppose asipotokea kujibu haya maswali kitu gani kitatokea?? au mwanzisha thread atafanya nini??
 
Back
Top Bottom