Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,927
- 13,010
Wewe umekisoma hicho kitabu ukaona haja'cite' refferences? Kutumia sehemu ya kitabu cha babu kuandikia kitabu kingine sio kosa,linakuwa ni kosa kama huja'aknowledge' kule mwisho.
kusite reference, ni pale unapokuwa ume quoate maeneo flani si kucopy au kutafasiri! Mkuu!Wewe umekisoma hicho kitabu ukaona haja'cite' refferences? Kutumia sehemu ya kitabu cha babu kuandikia kitabu kingine sio kosa,linakuwa ni kosa kama huja'aknowledge' kule mwisho.
Kwani wewe ndio hatimiliki wa madiba?
Kwani wewe ndio hatimiliki wa madiba?
.....Mkuu Jasusi.....ninakusihi ukisome kwanza kitabu cha Hayati Nelson Mandela..."Long Walk to Freedom"..halafu uje uangalie simulizi za huyu Maggid Mjengwa.......ndio utaelewa watu wanachoandika hapa........sidhani kama ni vema kwako ku-draw conclusion wakati hujakisoma kitabu halisi............
Maggid Mjengwa kafanya jambo la maana sana, kama kafanya makosa tusubiri wamiliki wa kitabu hicho walalamike.
Ngoja nimtetee Maggid. Alichofanya ni kutumia kitabu cha Mandela Long walk to freedom kama hadidu ya simulizi zake.
Hii inaruhusiwa katikia tasnia ya uandishi. Profesa Joseph Mbele amewahi kuandika kitabu kinachochambua maandishi ya Chinua Achebe. Alichofanya Maggid ni kuelezea katika lugha rahisi zaidi simulizi za Mzee Mandela kutoka kitabu chake. Kama ni kutafsiri angefanya hivyo neno kwa neno.
Maggid Mjengwa kafanya jambo la maana sana, kama kafanya makosa tusubiri wamiliki wa kitabu hicho walalamike.
Mwenzako anapiga hela wewe unasema njaa, acheni wivu wa kijingaalitafsiri pia kitabu cha Obama! Hizi njaa...
Kwani wewe ndio hatimiliki wa madiba?
Maggid Mjengwa kafanya jambo la maana sana, kama kafanya makosa tusubiri wamiliki wa kitabu hicho walalamike.
Siyo vibaya hata kidogo...Kumtahadharisha mwafrika mwenzentu kutoka Tanzania juu ya hatari inayoweza kumkabili endapo atafanya mambo bila kufuata taratibu. Maggid anayo haki ya kutahadharisha juu ya hili, vinginevyo wewe uwe unamtakia mabaya kwa kupinga watu kumtahadarisha.Maggid Mjengwa kafanya jambo la maana sana, kama kafanya makosa tusubiri wamiliki wa kitabu hicho walalamike.
Kwani wewe ndio hatimiliki wa madiba?