Nimemfahamu miaka mingi akiwa mtumishi wa Ttcl.
Kwa hiyo ukishakuwa na master's degree, basi una sifa za kufundisha Chuo Kikuu? Hivi kweli vijana watakaofundishwa na huyo jamaa kuna kitu watapata hapo? Kama wakufunzi tulio nao kwenye vyuo vyetu ni aina ya Mulongo, no wonder vijana wetu wanaomaliza vyuo vikuu miaka hii wamekuwa dhaifu sana.
Huyo mwanamke si ndie alitoa bastola kumtishia polisi ,akala shaba yeye???Tatizo la Mulongo ni makuzi yake,nakumbuka kipindi yuko Arusha nyumba ndogo yake iliegesha gari CRDB tawi la TRA sehemu isiyotakiwa hata wanausalama walipomwamuru apeleke gari sehemu nyingine bado alikaidi kisa ni yuko na Mkuu wa Mkoa mwenye dharau,majivuno mengi yasiyo na kichwa wala miguu.Askari walitoa upepo gari la nyumba ndogo lakini kwakuwa ilikuwa na uhusiano na Magesa mambo yakamalizwa taratibu.
Nimemfahamu akiwa miaka yake ya kuanza kazi pale TCCL Bukoba akiwa hajui hata kuvaa
sio za wazabuni pekee yake...hadi za wananchi na wafanyabiashara kwa kuwakopa halafu halipi..[emoji33][emoji33][emoji33]Huyu jamaa alikuwa ni bonge la fisadi, anapiga sana hela za wazabuni wa miradi iliyopo mkoani. Hapa Magufuli amefanya usafi wa maana, ni sawa na kuoga kwa sabuni ya unga ambapo uchafu unatoka wote
Mi namkumbuka akiwa DC Bagamoyo, full vitishoNimemfahamu miaka mingi akiwa mtumishi wa Ttcl.
Magesa hana njaaa ni kiongozi makini,kwani ukuu Wa mkoa kitugani jadili vitu vya msingi nasi MTU.
Duh jamaa mpigaji Sana acha apate anachostahilisio za wazabuni pekee yake...hadi za wananchi na wafanyabiashara kwa kuwakopa halafu halipi..[emoji33][emoji33][emoji33]