Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,931
- 31,176
Leo nimebahatika kupitia magazeti ya Mwananchi,Nipashe....
Mosi nilitegemea habari ya kikokoto kuandikwa katika hali ya uchambuzi wa kina na kuonyesha nani alifanya nini katika suala zina la maslahi ya wafanyakazi wastaafu.
Nini haswa kilisababisha au sababu ya kutungwa sheria na kanuni za hii Mifuko ya hifadhi ya jamii.
Pili nilitarajia wahariri wa magazeti makubwa wangejikita katika uchambuzi wa fedha za Wanachama zinavyotumika na hali halisi ya Mifuko yenyewe.
Katika hali ya kustaajabisha mhariri wa gazeti la Nipashe kaja na kichwa cha habari cha kusikitisha na kusononosha na ukilichukua gazeti la Mwananchi ndio unachoka kabisa.
Ni hakika Tanzania ya leo lipo Pengo kubwa la wahariri wa magazeti na sijui nini kimesababisha hali hiyo.