Magazeti yetu yamekuwa hovyo

Magazeti yetu yamekuwa hovyo

Mkuu Ngongo, kwanza naunga mkono hoja,

Tanzania tuna a very serious problem kwenye media zetu, hatuna waandishi na wahariri competent wenye uwezo wa kufanya news analysis.

Mfano jana kama mlimsikia waziri Mhagama na Mkurugenzi wa SSRA kuhusu reasons za kikokotoo kipya ni hali mbaya ya mifuko ya PSPF na LAPF, baada ya kufanywa kwa actorial valuation ya afya ya mifuko hiyo, na ikabainika ilikuwa ife kufuatia formula yake ya 1/500.

Kwa vile mifuko hiyo miwili tayari ilikuwa on death bed, na sasa imekuwa merged into PSSSF, ili kuizuia PSSSF isife, baada ya jana rais kukirudisha kikokotoo cha zamani kilichokuwa kiuwe mifuko hii, ilitegemewa serious media ije na analysis of what does that mean.

Media zetu nyingi uwezo wake ni news reporting tuu na sio news analysis na hili niliwahi kulizungumza humu.

Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu - JamiiForums

P
Wachambuzi wapo ila mtaka sifa kwa sheria zake kandamizi hafurahi kuona uchambuzi wenye sura ya kum-challenge! Aidha, kama mnaona wachambuzi wameshindwa, andikeni nyie hayo waliyoshindwa. Tusilaum watu wakati sababu iko wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yako. Mimi nilitaka kufahamu umemaanisha nini? Thats all.
Mimi nimejibu kuanzia pale uliposema hujui nani mwenye afadhali.. Na ni kweli hakuna mwenye afadhali kuanzia fenti fodi, intrapriiinaa mpaka sisi wa royal.
 
Hakuna matibabu ya roho,mkawaambie ndugu na wazazi wenu wawe waandishi wazuri.Vinginevyo waachien akina azzory roho zao.
 
UDOM ilijengwa na fedha za NSSF sasa jiulize marejesho ni shilingi ngapi ? Badala yake magazeti ya hovyo yanakuja na habari za kutimuliwa Mkurugenzi Mkuu.Pengine Magazeti yanataka kuaminisha wasomaji wake tatizo ni Irene na si serekali inayokopa bila utaratibu wa kurejesha.Daraja la Nyerere fedha za NSSF jiulize kiasi gani kimerejeshwa ?.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kufanya analysis data zako utazipata wapi? Umeshachunguza websites za mashirika ya Tz ukaona jinsi zilivyo? Nyingine data zake ziko miaka hata mitatu au zaidi nyuma. Kama utatumia data nyingine sheria ya takwimu inaweza kukufunga. Ukifanya analysis ya kuonyesha weaknesses unaweza kujikuta kwenye shida. Unakumbuka mambo yaliyompata yule kijana aliyepiga picha za "expansion joints"? Hiyo ilikuwa picha tu. Sembuse uje kufanya analysis ya ku reveal uzembe mkubwa au ufisadi? Kwa hiyo kama wewe ni mwandishi wa habari kwa nini ujitie kwenye shida wakati ukiandika habari za matukio tu familia yako itaishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ingejisikia vibayasana kuona vyombo vimeripoti kwaundani swala hili kwani bulaya aliyetwambia walifichwa baadhi ya vifungu...Anatokea kushoto kwao
Leo nimebahatika kupitia magazeti ya Mwananchi,Nipashe....

Mosi nilitegemea habari ya kikokoto kuandikwa katika hali ya uchambuzi wa kina na kuonyesha nani alifanya nini katika suala zina la maslahi ya wafanyakazi wastaafu.

Nini haswa kilisababisha au sababu ya kutungwa sheria na kanuni za hii Mifuko ya hifadhi ya jamii.

Pili nilitarajia wahariri wa magazeti makubwa wangejikita katika uchambuzi wa fedha za Wanachama zinavyotumika na hali halisi ya Mifuko yenyewe.

Katika hali ya kustaajabisha mhariri wa gazeti la Nipashe kaja na kichwa cha habari cha kusikitisha na kusononosha na ukilichukua gazeti la Mwananchi ndio unachoka kabisa.

Ni hakika Tanzania ya leo lipo Pengo kubwa la wahariri wa magazeti na sijui nini kimesababisha hali hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magazeti yamwjikita kusifu, na yameacha kabisa kasi yao ya kuhabarisha, kujadili, kutathmini, na kutengeneza rejea yaxukweli.
Kwa mrano Gazeti moja limeandika hama hama ya wanachama wa upinzani lakini halijaandika dhana ya kununuliwa kwa wapinzani hao na jinsi PCCB ilivyotupilia mbali ushahidi.
Leo nimebahatika kupitia magazeti ya Mwananchi,Nipashe....

Mosi nilitegemea habari ya kikokoto kuandikwa katika hali ya uchambuzi wa kina na kuonyesha nani alifanya nini katika suala zina la maslahi ya wafanyakazi wastaafu.

Nini haswa kilisababisha au sababu ya kutungwa sheria na kanuni za hii Mifuko ya hifadhi ya jamii.

Pili nilitarajia wahariri wa magazeti makubwa wangejikita katika uchambuzi wa fedha za Wanachama zinavyotumika na hali halisi ya Mifuko yenyewe.

Katika hali ya kustaajabisha mhariri wa gazeti la Nipashe kaja na kichwa cha habari cha kusikitisha na kusononosha na ukilichukua gazeti la Mwananchi ndio unachoka kabisa.

Ni hakika Tanzania ya leo lipo Pengo kubwa la wahariri wa magazeti na sijui nini kimesababisha hali hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayalla wewe ni miongoni mwa waandishi mahiri sana hapa Tz, nimesoma Makala zako nyingi siku za nyuma. Lakini hivi karibuni umepatwa na ugonjwa ule ule wa wahariri wa magazeti mengine. Mnaandika kuupendezesha utawala badala ya kujadili, kufikirisha, kuhabarisha na kutengeneza rejea ya ukweli. Mvuto wangu kwa vyombo vyetu vya habari umechujuka sana.
Mkuu Ngongo, kwanza naunga mkono hoja,

Tanzania tuna a very serious problem kwenye media zetu, hatuna waandishi na wahariri competent wenye uwezo wa kufanya news analysis.

Mfano jana kama mlimsikia waziri Mhagama na Mkurugenzi wa SSRA kuhusu reasons za kikokotoo kipya ni hali mbaya ya mifuko ya PSPF na LAPF, baada ya kufanywa kwa actorial valuation ya afya ya mifuko hiyo, na ikabainika ilikuwa ife kufuatia formula yake ya 1/500.

Kwa vile mifuko hiyo miwili tayari ilikuwa on death bed, na sasa imekuwa merged into PSSSF, ili kuizuia PSSSF isife, baada ya jana rais kukirudisha kikokotoo cha zamani kilichokuwa kiuwe mifuko hii, ilitegemewa serious media ije na analysis of what does that mean.

Media zetu nyingi uwezo wake ni news reporting tuu na sio news analysis na hili niliwahi kulizungumza humu.

Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu - JamiiForums

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ngongo, kwanza naunga mkono hoja,

Tanzania tuna a very serious problem kwenye media zetu, hatuna waandishi na wahariri competent wenye uwezo wa kufanya news analysis.

Mfano jana kama mlimsikia waziri Mhagama na Mkurugenzi wa SSRA kuhusu reasons za kikokotoo kipya ni hali mbaya ya mifuko ya PSPF na LAPF, baada ya kufanywa kwa actorial valuation ya afya ya mifuko hiyo, na ikabainika ilikuwa ife kufuatia formula yake ya 1/500.

Kwa vile mifuko hiyo miwili tayari ilikuwa on death bed, na sasa imekuwa merged into PSSSF, ili kuizuia PSSSF isife, baada ya jana rais kukirudisha kikokotoo cha zamani kilichokuwa kiuwe mifuko hii, ilitegemewa serious media ije na analysis of what does that mean.

Media zetu nyingi uwezo wake ni news reporting tuu na sio news analysis na hili niliwahi kulizungumza humu.

Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu - JamiiForums

P
Angalau wapo mabaki wachache kama wewe Pascal Mayalla . Wewe unajitahidi kuchambua mada japo kimafumbo mafumbo ili kukwepa rungu la mzee! Mfano huwa unachambua vizuri issue za acacia etc.
Hapo kwenye neno “ actorial “ weka “actuarial “ mkuu ..
Happy new year !
 
Ukitaka kufanya analysis data zako utazipata wapi? Umeshachunguza websites za mashirika ya Tz ukaona jinsi zilivyo? Nyingine data zake ziko miaka hata mitatu au zaidi nyuma. Kama utatumia data nyingine sheria ya takwimu inaweza kukufunga. Ukifanya analysis ya kuonyesha weaknesses unaweza kujikuta kwenye shida. Unakumbuka mambo yaliyompata yule kijana aliyepiga picha za "expansion joints"? Hiyo ilikuwa picha tu. Sembuse uje kufanya analysis ya ku reveal uzembe mkubwa au ufisadi? Kwa hiyo kama wewe ni mwandishi wa habari kwa nini ujitie kwenye shida wakati ukiandika habari za matukio tu familia yako itaishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi wanahitajika wenye akili kama wewe sio wapiga tantarira wanaojifanya wanaelewa kila kitu.
 
Mkuu Ngongo, kwanza naunga mkono hoja,

Tanzania tuna a very serious problem kwenye media zetu, hatuna waandishi na wahariri competent wenye uwezo wa kufanya news analysis.

Mfano jana kama mlimsikia waziri Mhagama na Mkurugenzi wa SSRA kuhusu reasons za kikokotoo kipya ni hali mbaya ya mifuko ya PSPF na LAPF, baada ya kufanywa kwa actorial valuation ya afya ya mifuko hiyo, na ikabainika ilikuwa ife kufuatia formula yake ya 1/500.

Kwa vile mifuko hiyo miwili tayari ilikuwa on death bed, na sasa imekuwa merged into PSSSF, ili kuizuia PSSSF isife, baada ya jana rais kukirudisha kikokotoo cha zamani kilichokuwa kiuwe mifuko hii, ilitegemewa serious media ije na analysis of what does that mean.

Media zetu nyingi uwezo wake ni news reporting tuu na sio news analysis na hili niliwahi kulizungumza humu.

Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu - JamiiForums

P

Tumekuwa wapenda ushabiki bila proper reasoning. Irene Isaka kaongea with logical analysis nini kilikuwa kitokee na wamenusuru hiyo hali kwa kufanya mambo kadhaa ikiwemo kikokotoo kipya, je kiuhalisia kuachana na actuarial analysis na kuamua vinginevyo tutarajie kitu gani?
 
Back
Top Bottom