Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,034
- 132,807
Tutegemee government bail out.Tumekuwa wapenda ushabiki bila proper reasoning. Irene Isaka kaongea with logical analysis nini kilikuwa kitokee na wamenusuru hiyo hali kwa kufanya mambo kadhaa ikiwemo kikokotoo kipya, je kiuhalisia kuachana na actuarial analysis na kuamua vinginevyo tutarajie kitu gani?
Hata mimi nimeuliza hili kwenye bandiko hili
Kama Kikokotoo Kipya ni Matokeo ya Actuarial Valuation ya Mifuko, Kosa la Irene Isaka ni Lipi Hadi Atumbuliwe?. Tusishangilie Tuu...Mwishowe... - JamiiForums
P.