Magazeti leo ukurasa wa kwanza ni Walimu kupiga wanafunzi tu. Leo yamekosa habari yakuandika nini maana hii ya walimu ndo wameona leo. Mbona hizi habari zipo sana na wanafunzi kuchapwa.
Magazeti yetu jitahidi kuwa mnafuatilia habari msiende na habari zinazoibuliwa nanyinyi jitahdin kuibua story mpya zenye mashiko!! Mkitegemea whatsapp mtafunga magazeti.