Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Hao wa bara huko kwao maisha yao yalivyo mabovu ndio usiseme unaweza ukajiuliza kama ndio Tanzania hii hii au wapo nchi nyingine. Maana hata kujisaidia wanajisaidia maporini. Ustarabu wote wamekuja kuupatia hapa Dar.
Njoo bara uone chakula safi nyumba safi hal ya hewa safi Shule nzuri biashara zapi nyingi!!! Hatuli ugaali WA kukoboa kwa dagaaa njoo mikoani uone
 
Nyumba za tembe na matope zisizokuwa na vyoo ndio safi. Buashara unamuuzia nani wakati watu wanalima kutumia jembe la mkono.
Njoo bara uone chakula safi nyumba safi hal ya hewa safi Shule nzuri biashara zapi nyingi!!! Hatuli ugaali WA kukoboa kwa dagaaa njoo mikoani uone
 
Hakuna Ukanda mzee....Nenda ubungo daladala za gongo la mboto, mbagala, Temeke zinavyosomba watu kupeleka kaskazini......Yaan magari hayatoshi...paka Noah na Tax zinaenda.......Ila hakuna hata moja inayoenda mkoa mwingine zaidi ya moshi-Arusha....Jiulize kwanini
Acha waende kwao, kila mtu ana kwao pia kanda ya ziwa sio kaskazini,
 
Wakuu habarini,hivi majuz wiki iliyopita nilitua Kilimanjaro international airport nikitokea instanbul Turkey,wakati nikielekea nyumbani nikipitia mjini Moshi nilishuhudia foleni isiyo ya kawaida,hii ni kutokana na wenyeji wa Kilimanjaro kuenzi utamaduni wao wa kurejea December Kila mwaka kwa ajili ya xmass na kupanga mipango ya kimaendeleo, mjini na vijijini kwasasa kote kumefurika magari ya kifahari ya kina meku kwakweli huu ni utamaduni mzuri sana
dar kipindi hiki biashara huwa zinayumba na foleni ya dar huwa inapungua kiaina hii inaonyesha jinsi wakazi wa Kilimanjaro walivyolikamata jiji la dar kiuchumi
mabasi ya kwenda kaskazini kwasasa yamejaa tele kutokea dar Hali iliyopelekea daladala kupewa kibali Cha muda kusafurisha abiria kwenda Kilimanjaro na Arusha
utamaduni huu haujawahi fikiwa na mkoa wowote ule
big up Kilimanjaro vyuma mwiko kukaza Kilimanjaro
 
Ila kumbuka mwanza na mbeya kuna foleni mwaka mzima bila hata wasukuma na wanyakyusa kurudi kwao toka Dar.
 
Ni ngumu kupata ticket ya basi au ndege kipindi hiki mkoa wotewote ule,sasa hizi sifa za kwamba kasikazini ndo wanarudi kwao peke yao sijui zinatoka wapi? Ni Ushamba unawasumbua!!
Makabila yote kwa mwenye uwezo sikukuu za mwisho wa mwaka wanaendaga kwao. Sio Kilimanjaro tu
 
Ila kumbuka mwanza na mbeya kuna foleni mwaka mzima bila hata wasukuma na wanyakyusa kurudi kwao toka Dar.
hâta moshi huwa kuna foleni siku zingine,ila hii imekuwa too much
na ndio maana nikasema n kutokana na utamaduni wetu wa December
kuhusu mbeya hakuna folen yoyote zaidi ya ile ya pale kwenye mataa ya mafiati tu
mbeya hunidanganyi chochote
 
Yaani mwaka mzima wa kuhenya wenye siku 365,,,inatokea siku mbili tatu tu za mwisho wa mwaka za kurudi makwenu vijijini kwenye Unga kilo tsh 300, basi mnaanza kujisifu kwamba nanyi ni big spenders!???

Wanaoenda vacations nje ya nchi na familia zao na kukaa mwezi mzima nao wajiitaje!???

Acheni uchuro bana, nchi nzima mnajulikana kwa ubahili wenu,,,, hizo spending zitatoka wapi!??
 
Punguza wivu
 
Back
Top Bottom