Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Kuna mtu alinitishia krismas ya mwaku huu sitaiona, jana ndio ilikua 40 yake, ni hayo tu.
 
Wakuu habarini,hivi majuz wiki iliyopita nilitua Kilimanjaro international airport nikitokea instanbul Turkey,wakati nikielekea nyumbani nikipitia mjini Moshi nilishuhudia foleni isiyo ya kawaida,hii ni kutokana na wenyeji wa Kilimanjaro kuenzi utamaduni wao wa kurejea December Kila mwaka kwa ajili ya xmass na kupanga mipango ya kimaendeleo, mjini na vijijini kwasasa kote kumefurika magari ya kifahari ya kina meku kwakweli huu ni utamaduni mzuri sana
dar kipindi hiki biashara huwa zinayumba na foleni ya dar huwa inapungua kiaina hii inaonyesha jinsi wakazi wa Kilimanjaro walivyolikamata jiji la dar kiuchumi
mabasi ya kwenda kaskazini kwasasa yamejaa tele kutokea dar Hali iliyopelekea daladala kupewa kibali Cha muda kusafurisha abiria kwenda Kilimanjaro na Arusha
utamaduni huu haujawahi fikiwa na mkoa wowote ule
big up Kilimanjaro vyuma mwiko kukaza Kilimanjaro
hii desturi inanipa hasira ya kupambana namimi xmass nikapange foleni moshi
 
Hizi tabia za kike za hizi hacheni...

kwani lazima mlete humu. F... Off
 
hapo ulitaka tu kusema umetoka uturuki!
tena kupitia Kilimanjaro INTERNATIONAL Airport!

usanii wa watanzania huwa naukubali.

katoka juzi kwa Erdogan lakini tayari ameshajua msongamano wa dar na mbeya pamoja na kudorora kwa biashara kwa vile tu wachaga wameenda kula likizo!!

haya bwana. Krismas Njema. na wala sitashawishika kukubali kuwa mbadala wa Krismas/Christmas uwe X-mas!
 
Moshi ni Motoo, Christmas safiii

Kazi na Bataaa

Magari mengi na ya kifahari

TBL na Serengeti breweries

Bonite Bottles

Mbege Breweries
 
Kipindi cha kuanzia December 20th hadi January 02nd ni msiba mkubwa sana kwa vibeberu maeneo hayo; vinachinjwa kweli kweli peak ikiwa leo December 25th.
 
Watu wamegawanyika katika maumbile, tabia, rangi, tamaduni, elimu, imani togauti tofauti sana.
Upande wa Makabila.
Kuna makabila yenye kufanya mambo yao kwa nafasi zao na raha zao bila ya bugudha kwa wengune kiasi kwamba unaweza ukadhani hawapo au hakuna wafanyalo. Wao mambo yao ni kimya kimya na ndiyo furaha yao. Yamebarikiwa na kwa namna ya kipekee sana pia yamebarikiwa kujitambua na hayana mioyo ya majigambo na ubinafsi.

Kuna Makabila mengine bado hayajaweza kujitambua kabisa. Pamoja na Mungu kuwajaalia kwa mambo tofauti lakini yana ulimbukeni mwingi. Yana kelele sana, yapo busy kujionyesha na kujiringanisha. Hata ya kijamba yatataka yapige kelele yaonekane ni yenyewe yamejamba, yana majigambo na ubinafsi wa hali ya juu sana, hata kama hawana kazu na mradi fulani bado watataka upelekwe kwao. Ni makabila yenye tabia za kipwanipwani sana.

Nitaendelea kuchambua kidogo kidogo tabia hizo za watu kutoka kwenye makundi yao.

Ahsanteni sana na Merry Kristmasi!
 
Ahsanteni![/QUOTEMkuu umegusa watu hapa ngoja waje
 
47169014_221586195430244_6611945408320567909_n.jpg
 
Mnashindia mihogo mkisaks pesa kwa mwaka mzima alafu leo unakula na kunywa mpaka mnavimbiwa,huu ni ufala hasa huko Moshi punguzeni sifa
 
Mnashindia mihogo mkisaks pesa kwa mwaka mzima alafu leo unakula na kunywa mpaka mnavimbiwa,huu ni ufala hasa huko Moshi punguzeni sifa
punguza wivi, waache wachaga wajinafasi, wakishindia mihogo ni wao wewe inakuuma nini
 
Jamani nendeni dar mpige sensa wanaume wa dar wamebaki wangapi...tukirudi watu wa kazi mjue tumetoka shamba
 
Back
Top Bottom