luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
aliyekuambia mm maskini Nani?Mchaga masikini kazi kusifia wenzio acheni ushamba nyie,
Kilimanjaro ni mkoa wa 2 kwa watu wake kuishi maisha Bora na makazi bora baada ya dar,kwa mujibu wa nbs
Sasa ww mshaija wa kagera unadhan watu wote ni washamba ?
njoo nikupe kazi Sina njaa najituma
ni ukweli usiopingika tangu hata kabla ya Uhuru tupo vizuri maana miundombn muhimu Kama maji, hospital,shule zipo tangu hata hatujapata Uhuru
na hata mwl nyerere alichangiwa nauli na watu kadhaa kwenda un kudai Uhuru mmoja wapo alikuwa mzee aikaeli mbowe aliyekuwa akimiliki mahotel ndan na nje ya tz
ndio maana hadi Sasa matajiri wazawa tunaongoza akianza mzee mengi wa itv
ukija kwenye elimu Sina haja ya kukuelezea unaujua Moto wetu