Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Mwanza imetoka wapi tena kaskazini??. Mwanza ipo kanda ya ziwa.

Ukanda wa kaskazini ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, featuring na Tanga full stop.
Mkuu pande kuu za dunia ziko 4 kaskazini mashariki magharibi na kusini sasa ziwa Victoria lenyewe linapatikana kaskazini mwa Tanzania
 
POST YA HOVYO YA SIKU......BARA BARA HAIJAWAHI KUKAUKA WAPITAJI ACHA UZWAZWA
Tatazo LA mtoa mada amekutana na BMW Harrier La4 yani gari za heshima tupu


Kumbe watu wa kaskazini wanaenda makwao alijua msafara wa Raisi msamee bure
 
Watu wamekuwa negative sana na wachaga.. Hata kazini tunafanya kazi kwa shida sana.. Unahisi kabisa kuna viroho vya husuda na wivu dhidi ya wachaga.. Maana ki ukweli hapa kazini nilipo kuna wachaga wenzangu wanajiweza sio mchezo.. Yaani ni wana hela sio mchezo.. Shobo zinakuwa nyingi sana
 
Wengi wanakodi magari msimu huu.
Ndiyo kwani kukodi ni nn? nipesa yako huna pesa huwezi kufanya hivyo ila kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba nimekumagazijuto kuwa hupendi maendeleo ya wenzako wivu umekujaa,mm mwenye nitaadhimisha kaist changu hakanitoshi family kubwa mno siunajua mambo ya extended family.
 
Ushauri wa sala, kwa wachagga (Wa-anjo, Waorombo, Wamachame, wakibong’oto, wakiwoso etc), na kwa majirani zao (upande wa Arusha na upande wa upareni), na kwa watanzania wote wanaoenda kijijini kwa sherehe za mwisho wa mwaka.

Kwahiyo, siku mmoja uwapo kijijini kwenye eneo lako la ukoo ukipenda unaweza ukafanya haya:

1) Chagua Jumamosi moja (siku ya saba ya wiki/Sabato takatifu).

2) Kwenye Jumamosi hiyo chagua mida ya saa tisa mchana.

3) Ingia chumbani, funga mlango, piga magoti sali. Kama ukitaka unaweza ukaelekeza sura yako kuelekea Jerusalemu, lakini ukiwa huifikirii Jerusalemu ya sasa, bali unaifikiria Jerusalemu mpya itakayoshuka kutoka mbinguni.

4) Kwenye sala yako tumia Jina la YAHWEH (Muumba wa Mbingu na nchi) na la mwanae Bwana Yahshua Masiha. Ukipenda, unaweza pia kusema Kanuni ya Imani ya Mkristo. Ukimaliza sala yako usisahau kusema: Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, YAHWEH wa Majeshi, Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wako, hossana juu mbinguni, Amen.

5) Muombe Bwana asamehe madhambi yako na ya vizazi vya sasa na vilivyopita vya familia yako, ukoo wako, kabila lako, nchi yako, rangi yako, na wanadamu kwa ujumla. Muombe Bwana awape afya njema, furaha na mafanikio mazuri ya kiroho na kimwili katika maisha. Vile vile waombee wasidhuriwe na wasidanganywe na Shetani.

Of course note that Bwana Yahshua alizaliwa during the Feast of Tabernacles (ambayo this year iliangukia kwenye last week of September). Na mwaka wa kibiblia huwa una anza mwezi wa kwanza wa kibiblia ambao unaitwa Abib, ambao unaangukia March-April kwenye calendar hii tunayoitumia.

Unaweza kukuta familia yako au na ukoo wako umekua ukididimia kadri miaka inavyoenda. Sala hii inaweza ikapunguza kudidimia huko.

Sala hii, pia, inaweza kupunguza mapito mbali mbali ya kimaisha tunayo yapitia.

Nawatakia safari njema ya kwenda na kurudi kijijini kwenu.
 
Ni kaskazini ndiyo au unataka kuihamisha
Regions in Tanzania : Central Zone: Dodoma · Singida · Tabora · Coastal Zone: Dar es Salaam · Lindi · Morogoro · Mtwara · Pwani · Lake Zone: Geita · Kagera · Mara · Mwanza · Shinyanga · Simiyu · Northern Zone: Arusha · Kilimanjaro · Manyara · Tanga · Southern Highlands Zone: Iringa · Mbeya · Njombe · Rukwa · Ruvuma · Songwe · Western Zone: Katavi · Kigoma ·
1545562685324.png
1545562685324.png
 
Achana na kukariri ramani

Ukiskia KASKAZINI ujue Kaskazini kweli na sio kaskazini magharibi ya mwanza na mara....kule ni KANDA YA NYONYO!

Mtu akisema KASKAZINI dont get twisted na Kaskazini zote mbili ya mashariki na ya nyonyo mana Kaskazini ipo moja tu.
Hakuna Ukanda mzee....Nenda ubungo daladala za gongo la mboto, mbagala, Temeke zinavyosomba watu kupeleka kaskazini......Yaan magari hayatoshi...paka Noah na Tax zinaenda.......Ila hakuna hata moja inayoenda mkoa mwingine zaidi ya moshi-Arusha....Jiulize kwanini
 
Hakuna Ukanda mzee....Nenda ubungo daladala za gongo la mboto, mbagala, Temeke zinavyosomba watu kupeleka kaskazini......Yaan magari hayatoshi...paka Noah na Tax zinaenda.......Ila hakuna hata moja inayoenda mkoa mwingine zaidi ya moshi-Arusha....Jiulize kwanini
Naona umemquote wrong person...ila kama ulidhamiria kuniquote mm well soma my posts toka mwanzoni
 
Back
Top Bottom