kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Kwanza uturuki nchi ya kishamba sanaPunguza wivu
Kwanza uturuki nchi ya kishamba sanaPunguza wivu
Yaani mwaka mzima wa kuhenya wenye siku 365,,,inatokea siku mbili tatu tu za mwisho wa mwaka za kurudi makwenu vijijini kwenye Unga kilo tsh 300, basi mnaanza kujisifu kwamba nanyi ni big spenders!???
Wanaoenda vacations nje ya nchi na familia zao na kukaa mwezi mzima nao wajiitaje!???
Acheni uchuro bana, nchi nzima mnajulikana kwa ubahili wenu,,,, hizo spending zitatoka wapi!??
wacha weeKwanza uturuki nchi ya kishamba sana
wewe ndio mshamba wa mwisho uturuki nchi ya 15 kwa uchumi makubwa dunian unasema ya kishamba? shirika lao la ndege Turkish airlines ni la 4 kwa ubora dunian, uwanja wao wa ndege Atatürk international airport ni wa 3 dunian kupokea ndege nyingi baada ya abu Dhabi na AmsterdamKwanza uturuki nchi ya kishamba sana

Kwanza uturuki nchi ya kishamba sana
ni mcheza baikoko huyo hawez kuwa na jipyaPunguza wivu
Mwenzako amekwea pipa ..wee endelea kushangaa shangaa tu..Kwanza uturuki nchi ya kishamba sana
Wana wa Israel wana neema siku 365 za mwakakaskazn vyuma havikaz ukiona vimekaza ujue dunia inaisha
hiki kubibi Cha kizaramo FaizaFoxy kina wivu mkali Sana na Wana kaskazini
ndio hivyo aliye juu mngoje chini
cc
britanicca
Sky Eclat
instanbul
Come27
comte
Upepo wa Pesa
WAmesukumiwa huko kisarawe wakacheze ngoma vizuri. DSM imeshikwa na Watu wa bara lBado Dar ni wazaramo itabakia hivyo hata akibaki mmoja
Mchaga masikini kazi kusifia wenzio acheni ushamba nyie,we kibibi Cha kizaramo FaizaFoxy watu wa kaskazn Wana mkwanja tangu hata kabla ya Uhuru ndio maana wamewanunua hapo dar na kuwasukumia porini
saa HIV ukienda Kilimanjaro utaona ma V8 na ma harrier yalivyopamba huko migombn mrabaki na wivu sisi tunapeta tu