Magari ya kutoka China yashika soko SA

Magari ya kutoka China yashika soko SA

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
20,490
Reaction score
41,158
Kampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena.
20260128_123746.jpg
20260128_123758.jpg

Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila wananchi wamezielewa sana imepelekea kuletwa na gari nyingi za kuchaji zinazotumia umeme kwa umbali mrefu kama hizi..
20260128_123844.jpg
20260128_122757.jpg
20260128_122753.jpg
20260128_122737.jpg
20260128_122737.jpg
20260128_122726.jpg
20260128_122828.jpg
20260128_122749.jpg

Bei ya hizi gari mpya zinaanzia rand 400,000 mpaka rand 500,000 za 2025 model.
 
Kampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena.View attachment 3547824View attachment 3547825
Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila wananchi wamezielewa sana imepelekea kuletwa na gari nyingi za kuchaji zinazotumia umeme kwa umbali mrefu kama hizi..View attachment 3547826View attachment 3547829View attachment 3547830View attachment 3547832View attachment 3547832View attachment 3547833View attachment 3547834View attachment 3547831

Tesla watasubiri Sana. MWANZO wa Petrodollar kushuka
 
Uchumi wa souz unashuka sana kupitia bidhaa za kichina haya magari ukiliweka barabarani mwezi mmoja tu utashangaa yani ni box la plastic umbi kubwa bei rahis hayadumu kabisa viwanda vya polo na nissan vinapata hasara lakini ndio magari mazuri na yana dumu muda mrefu uchuni wa souz unakamatwa na mchina sasa hv na ana haribu nchi kila sehemu.
 
Sio kweli mkuu nina gari pick up mwaka wa tano huu nalitumia na nazunguka nalo kila napokua huku sema vitu vingi vinavyokuja Tanzania ni copy...hizo gari za polisi GMW utaziona maana zipo hapo na pia SA wao kubadilika wanaangalia kitu kama kipo sawa mtu anatumia tu..
Haval wanafanya vizuri na gari zao ni bora pia..
Tanzania hizi gari kuja mpaka mmoja aanze kununua ndio wengine wataanza wakati huku washayachoka..
Huku 2013 niliwahi kununua Mazda CX 5 ya mwaka huo huo kwenye auction nilipotaka kuja nayo 2014 jamaa akasema bora nimletee Mercedes kuliko Mazda hajaielewa nikampelekea Mercedes ya 2010 baadae aliposikia kelele za Mazda akaja kuagiza tena wakati yeye alikua mtu wa kwanza kujua ila hakuitaka kwa hiyo ndugu zangu nawajua hizi Haval Tigo mtakuja kuzitumia mpaka msikie kelele na watu wengine wakiagiza kwa wingi..
 
Kampuni za magari kutoka China zinafanya vizuri kwenye soko la magari SA na imepelekea kampuni ya Cherry kununua kiwanda cha Nissan kilichopo Pretoria kuanzia mwakani kitakua kinazalisha magari ya kutoka China na si Nissan tena.View attachment 3547824View attachment 3547825
Pamoja na kuwekewa kodi kubwa kwa gari zinazotoka China ila wananchi wamezielewa sana imepelekea kuletwa na gari nyingi za kuchaji zinazotumia umeme kwa umbali mrefu kama hizi..View attachment 3547826View attachment 3547829View attachment 3547830View attachment 3547832View attachment 3547832View attachment 3547833View attachment 3547834View attachment 3547831
Bei ya hizi gari mpya zinaanzia rand 400,000 mpaka rand 500,000 za 2025 model.
Dah Wachina wapo kasi sana
 
Uchumi wa souz unashuka sana kupitia bidhaa za kichina haya magari ukiliweka barabarani mwezi mmoja tu utashangaa yani ni box la plastic umbi kubwa bei rahis hayadumu kabisa viwanda vya polo na nissan vinapata hasara lakini ndio magari mazuri na yana dumu muda mrefu uchuni wa souz unakamatwa na mchina sasa hv na ana haribu nchi kila sehemu.
Umewahi kumiliki hizo gari za china?
 
Wachina wana akili sana viwanda vyao wanaweka huku harafu hizo Nchi zingine watanunua kutokea hapa kama wanavyofanya SA miaka ya baadae watashika soko la Afrika zipo Haval zinasimbua sana hapa wana version tofauti sana na wanatoa kila kukicha..
Hawa jamaa nimewavulia kofia an ni wazee wa fursa na kurahisisha mambo
 
Kampuni ya BYD wameshafungua show room ya magari Yao pale vingunguti kuna hizi pick up zao zinaitwa sharks 6 nimekutana nayo juzi hakika machina ni balaa kubwa Sana
Hii pick up ina muonekano wa kisasa kushinda Hilux
Screenshot_20260125-172400.png
 
Uchumi wa souz unashuka sana kupitia bidhaa za kichina haya magari ukiliweka barabarani mwezi mmoja tu utashangaa yani ni box la plastic umbi kubwa bei rahis hayadumu kabisa viwanda vya polo na nissan vinapata hasara lakini ndio magari mazuri na yana dumu muda mrefu uchuni wa souz unakamatwa na mchina sasa hv na ana haribu nchi kila sehemu.

Kutokana na facts zako inamaanisha huko uChina kutakuwa na yards kubwa za magari mabovu ya Kichina sio?

Sababu zaidi ya 80% ya magari wanayotumia wachina ni brands zao wenyewe...
 
Wachina ni balaa mnoo, kwenye hii ishu ya magaru ya umeme watakimbiza mnoo, hapa watakimbiza sana tu.
Bongo wameshaanzq kuleta nimeona byd shark, kuna sealion na dolphin kama sikosei
 
Kutokana na facts zako inamaanisha huko uChina kutakuwa na yards kubwa za magari mabovu ya Kichina sio?

Sababu zaidi ya 80% ya magari wanayotumia wachina ni brands zao wenyewe...
Suala la kuwa magari ya mchina hayadumu kama ya nchi za Magharibi siyo suala la mjadala bali ni ukweli. Ila kuna angalizo: kosa ni kuwa watu wanayaponda mpaka inaleta picha ni kama ''magari ya mabox'', yasiyofaa kwa lolote. Jambo jingine: watu husema uzoefu ni mwalimu mzuri. Huenda baada ya muda wachina nao wataweza kuboresha magari yao yawe imara. Na mwisho: bidhaa za kichina kwangu mimi kosa lao ni moja... wanaiga mno design za magharibi. Unakuta eg gari wanatoa ukiliangalia utadhani ni Range Rover ki-muonekano, lakini ukichunguza unakuta ni la kichina. Hii inafanya hata mtu anayemiliki anaonekane kama limbukeni-mshamba aliyebambikiziwa.. kama yale ma-iphone ya kichina.
 
Back
Top Bottom