Magari ya kuagiza odometer ni genuine au feki?

S

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Messages
650
Likes
298
Points
80
S

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2012
650 298 80
Kwa wale tunaopenda kununua magari kupitia mtandaoni hizo odometer km zinazoonyeswa ni za kweli au feki zinaweza kurekebishwa ili kuuza ?

Mfano unakuta aina ya gari hiyo hiyo za mwaka mmoja (1999) na muuzaji mmoja
1. ina 18,000 km bei CIF 2125 usd na
2. ina 164,000 km bei CIF 2682 usd

Naongelea makampuni ya kijapani km BEFOWARD, SBT ,CARDEALPAGE , TRADECARVIEW n.k.

Sasa najiuliza inawezekanaje yenye km nyingi kwa maana nzee zaidi kuizidi bei gari hiyo hy km bado mpya ? ? ? kwani kwa tz 18,000 km bado mpya kabisa ? ?

Naomba ufahamu na uzoefu wenu tafadhali na ni wapi wa kuaminika zaidi ?
 
C

celinawetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
896
Likes
637
Points
180
C

celinawetu

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
896 637 180

Hebu fikiria zaidi ya hapo
 
Vangigula

Vangigula

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
275
Likes
414
Points
80
Vangigula

Vangigula

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
275 414 80
Hebu fikiria zaidi ya hapo
Huh!!! Afikirie zaidi ya hapo, wakati maelezo yanaonyesha amekwangua ubongo kuhusiana na hiyo kitu. Ni sawa na kumwambia mwanaume amwage zaidi sekunde chache baada ya kushusha mzigo. Kama una majibu fanya kumsaidia tu ndugu
 
C

celinawetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
896
Likes
637
Points
180
C

celinawetu

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
896 637 180
Huh!!! Afikirie zaidi ya hapo, wakati maelezo yanaonyesha amekwangua ubongo kuhusiana na hiyo kitu. Ni sawa na kumwambia mwanaume amwage zaidi sekunde chache baada ya kushusha mzigo. Kama una majibu fanya kumsaidia tu ndugu
Unajua huyu mutu hajaweka vizuri hii kitu,gari ya 18,0000km unaweza kuwa ilishawahi pata ajali nk,sasa vitu kama hivi lazima ajue maana vina effect kwenye bei
 
S

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Messages
650
Likes
298
Points
80
S

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2012
650 298 80
Huh!!! Afikirie zaidi ya hapo, wakati maelezo yanaonyesha amekwangua ubongo kuhusiana na hiyo kitu. Ni sawa na kumwambia mwanaume amwage zaidi sekunde chache baada ya kushusha mzigo. Kama una majibu fanya kumsaidia tu ndugu
Okay mara nyingi gari kama ina defect yeyote huonyeshwa kwenye report zao huo mfano wangu ni kwa hale ysio na ttizo lolote, kwa ujumla nitaka kujuwa km kuna aina yeyote ya kuchezea odometer ?
 
sajo

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
428
Likes
185
Points
60
sajo

sajo

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
428 185 60
Nijuavyo mimi ni kuwa haya magari ya mtumba huwa yanauzwa kwa bei anayotaka muuzaji kulingana na namna alivyolipata hilo gari na namna lilivyo (condition, status na color).. Hakuna standard ya kupanga bei kwa vitu vya mtumba, sawa na mimi nikitaka kuuza simu yangu nayoitumia naweza uza kwa TZS laki moja labda kwa sababu nina shida na hiyo pesa na ninaihitaji mapema, lakini simu hiyohiyo alieinunua toka kwangu anaweza kuiuza TZS 160,000/- na ikauzika...
Kitu cha msingi ni kuangalia ubora wa gari kwa muonekano wa bodi na pia inspection report...ila odometer kwa magari ya kijapan yanayouzwa kwenye hizo web market pages huwa zinakua hazijachezewa na walizobadilisha nyingi huwa wanaandika kabisa kuwa Odometre ilibadilishwa nk... Niliambiwa magari ya dubai ndio mengi yalikua yanachezewa odometre
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
4,988
Likes
5,577
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
4,988 5,577 280
ww jidanganye kununua gari kwa kuangalia KM hizo zinashuswa
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
30,997
Likes
6,428
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
30,997 6,428 280
Km wanacheza nazo
 
S

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Messages
650
Likes
298
Points
80
S

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2012
650 298 80
Nijuavyo mimi ni kuwa haya magari ya mtumba huwa yanauzwa kwa bei anayotaka muuzaji kulingana na namna alivyolipata hilo gari na namna lilivyo (condition, status na color).. Hakuna standard ya kupanga bei kwa vitu vya mtumba, sawa na mimi nikitaka kuuza simu yangu nayoitumia naweza uza kwa TZS laki moja labda kwa sababu nina shida na hiyo pesa na ninaihitaji mapema, lakini simu hiyohiyo alieinunua toka kwangu anaweza kuiuza TZS 160,000/- na ikauzika...
Kitu cha msingi ni kuangalia ubora wa gari kwa muonekano wa bodi na pia inspection report...ila odometer kwa magari ya kijapan yanayouzwa kwenye hizo web market pages huwa zinakua hazijachezewa na walizobadilisha nyingi huwa wanaandika kabisa kuwa Odometre ilibadilishwa nk... Niliambiwa magari ya dubai ndio mengi yalikua yanachezewa odometre
Shukran mkuu nimekuelewa sana
 
N

Ngahekapahi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Messages
549
Likes
154
Points
60
N

Ngahekapahi

JF-Expert Member
Joined May 8, 2012
549 154 60
Kwa wale tunaopenda kununua magari kupitia mtandaoni hizo odometer km zinazoonyeswa ni za kweli au feki zinaweza kurekebishwa ili kuuza ?

Mfano unakuta aina ya gari hiyo hiyo za mwaka mmoja (1999) na muuzaji mmoja
1. ina 18,000 km bei CIF 2125 usd na
2. ina 164,000 km bei CIF 2682 usd

Naongelea makampuni ya kijapani km BEFOWARD, SBT ,CARDEALPAGE , TRADECARVIEW n.k.

Sasa najiuliza inawezekanaje yenye km nyingi kwa maana nzee zaidi kuizidi bei gari hiyo hy km bado mpya ? ? ? kwani kwa tz 18,000 km bado mpya kabisa ? ?

Naomba ufahamu na uzoefu wenu tafadhali na ni wapi wa kuaminika zaidi ?
Mkuu kampuni kama beforward, tradecarview ambayo inahusisha wauzaji wengi Wana magari Mengi sana na reputable kiasi kwamba kucheza na hivyo vitu ni almost 0%. Labda hizi za Bongo kwenye yard mie ndio siziamini.
 
sajo

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
428
Likes
185
Points
60
sajo

sajo

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
428 185 60
Mkuu kampuni kama beforward, tradecarview ambayo inahusisha wauzaji wengi Wana magari Mengi sana na reputable kiasi kwamba kucheza na hivyo vitu ni almost 0%. Labda hizi za Bongo kwenye yard mie ndio siziamini.
Hizi za kwenye yard nyingi sana ni zimechezewa...zina ujanja ujanja mwingi aisee
 
Tarakilishi

Tarakilishi

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2013
Messages
1,968
Likes
2,030
Points
280
Tarakilishi

Tarakilishi

JF-Expert Member
Joined May 19, 2013
1,968 2,030 280
Nijuavyo mimi ni kuwa haya magari ya mtumba huwa yanauzwa kwa bei anayotaka muuzaji kulingana na namna alivyolipata hilo gari na namna lilivyo (condition, status na color).. Hakuna standard ya kupanga bei kwa vitu vya mtumba, sawa na mimi nikitaka kuuza simu yangu nayoitumia naweza uza kwa TZS laki moja labda kwa sababu nina shida na hiyo pesa na ninaihitaji mapema, lakini simu hiyohiyo alieinunua toka kwangu anaweza kuiuza TZS 160,000/- na ikauzika...
Kitu cha msingi ni kuangalia ubora wa gari kwa muonekano wa bodi na pia inspection report...ila odometer kwa magari ya kijapan yanayouzwa kwenye hizo web market pages huwa zinakua hazijachezewa na walizobadilisha nyingi huwa wanaandika kabisa kuwa Odometre ilibadilishwa nk... Niliambiwa magari ya dubai ndio mengi yalikua yanachezewa odometre
Ufafanuzi bora kabisa
 
Norton82

Norton82

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
463
Likes
386
Points
80
Norton82

Norton82

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
463 386 80
Thnx for widening up my knowledge in this arena.
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
33,199
Likes
35,102
Points
280
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
33,199 35,102 280
Kwa wale tunaopenda kununua magari kupitia mtandaoni hizo odometer km zinazoonyeswa ni za kweli au feki zinaweza kurekebishwa ili kuuza ?

Mfano unakuta aina ya gari hiyo hiyo za mwaka mmoja (1999) na muuzaji mmoja
1. ina 18,000 km bei CIF 2125 usd na
2. ina 164,000 km bei CIF 2682 usd

Naongelea makampuni ya kijapani km BEFOWARD, SBT ,CARDEALPAGE , TRADECARVIEW n.k.

Sasa najiuliza inawezekanaje yenye km nyingi kwa maana nzee zaidi kuizidi bei gari hiyo hy km bado mpya ? ? ? kwani kwa tz 18,000 km bado mpya kabisa ? ?

Naomba ufahamu na uzoefu wenu tafadhali na ni wapi wa kuaminika zaidi ?
Usidanganywe na low mileage......za uongo hizo kwasababu wanajua mnachoangalia ni low mileage.
 
Forum statistics

Threads 1,236,304
Members 475,050
Posts 29,253,475