Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,116
Kwa wale tunaopenda kununua magari kupitia mtandaoni hizo odometer km zinazoonyeswa ni za kweli au feki zinaweza kurekebishwa ili kuuza ?
Mfano unakuta aina ya gari hiyo hiyo za mwaka mmoja (1999) na muuzaji mmoja
1. ina 18,000 km bei CIF 2125 usd na
2. ina 164,000 km bei CIF 2682 usd
Naongelea makampuni ya kijapani km BEFOWARD, SBT ,CARDEALPAGE , TRADECARVIEW n.k.
Sasa najiuliza inawezekanaje yenye km nyingi kwa maana nzee zaidi kuizidi bei gari hiyo hy km bado mpya ? ? ? kwani kwa tz 18,000 km bado mpya kabisa ? ?
Naomba ufahamu na uzoefu wenu tafadhali na ni wapi wa kuaminika zaidi ?