Magari mapya ya chadema

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Kunapicha nliziona kwenye fb na ni picha ya magari ya cdm yenye chata la m4c ni kweli magari hayo ni ya chadema.
 
Yale sio magari halisi kaka ni image za ku edit ili kuonesha hali ya vyama hivi! Lile zuriii jeupe macopolo mayai ndio CDM na lile la kijani oldscul ngwalamgwala ndo la MABWEPANDE. sahihi ngoja nitupie picha.
 
Hapa GreenCity...nadhani anazungumzia Toyota Hilux double cabin zenye nembo kubwa ubavuni ya M4C...nimeshayaona kama matatu hivi hapa kwetu Arusha....maandalizi ya kujenga chama kwa ajili ya kampeni 2015
 
wow! Kumbe, safi hiyo!
 
Kwahiyo nawe ukinywa bia tuulizane au?
 
Attachments

  • L55.jpg
    L55.jpg
    15.3 KB · Views: 51
Kunapicha nliziona kwenye fb na ni picha ya magari ya cdm yenye chata la m4c ni kweli magari hayo ni ya chadema.
Unazungumzia haya....??

403890_442493699123523_1244853011_n.jpg

Ndiyo tunayo..ya zamani tumewapa CCM!!wahangaike nayo....kwani wanajigamba kuwa wao ni wakongwe na sisi tumewapa magari makongwe!!kama walivyo wakongwe!
 
Hapa inaonekana kuna chama cha matawi ya juu na basi lenye AC, vioo tinted (ili wasionekana wanavyoenjoy maisha ndani ya basi lao) na chama cha walalahoi waliojazana kibao kwenye nafasi ndogo na madirisha wazi ili angalau upepo uingie. Basi la matawi ya juu mlango wake umefungwa (kuumanisha wanaoingia humo ni watu maalum) basi la walalahoi mlangoni kuna kondakta anawaita walalahoi wanaohitaji huduma ya usafiri bila kujali ni kina nani.

Hiyo ndio tafsiri ya picha hii.
 
Back
Top Bottom