Umkonto umsizwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 527
- 1,136
Ni gauteng province siyo police, na sababu kubwa ndio jimbo kubwa la kibiashara kama dar, na pili ipo karibu na borders tofauti na cape town huko ambako hadi ufike border ya botswana ni km 2000Habari za wakati huu members wa jf
Nina swali kidogo
Je ni kwanini magari mengi kutoka afrika kusini ambayo nimeyaona au kuja hapa tanzania ni magari kutoka jomba la Gauteng police (GP) na siyo majimbo mengine View attachment 3274225
Ikiwa umewahi kuyaona weka evidence
Je kwanini imekuwa jimbo moja ikiwa kuna majimbo mengineInategemeana umenunua wapi , Jimbo gani
Point ya kwanzaNi gauteng province siyo police, na sababu kubwa ndio jimbo kubwa la kibiashara kama dar, na pili ipo karibu na borders tofauti na cape town huko ambako hadi ufike border ya botswana ni km 2000
Duuh hapo 26 ndiyo wapo au?Gauteng Province au gangster paradise ina plate namba nzuri na ndio mabaharia,wajanja na wagunu wanaishi hapo. Hilo jimbo hata baadhi tá wazawa wanaogopa kulikanyaga.
Nalog off
Nimeishi huko eneo la gauteng yani wizi wa magari ni kama vibaka wanaiba mikoba au kuiba simu.
Nisanue tu gari nyingi zinazo kuja bongo nyingi za wizi sana.
Na wapo wanaozifanyia usajili zikatoka kule na usijue kuwa waliiba kama kupora simu.
Nyengine zinazokuja nyingi unakuta wengi hawapendi kutengeneza sana akiona blabla anauza na zengine zina bima kubwa ikipata ajali au ubovu ndio tunazao.
Ila nachopenda maisha ya south afrika kama hawa wasijulikana wanatamba mtaani na tunawajua yani kule ulishamalizana naye zamani maana kifo kipo cha pesa unayotaka kulipiza
Vipengele vipo kwetuKwani wa-South Africa wanasemaje?
Kwamashu ipo jimbo gani kiongoziGauteng Province ni jimbo linalounganisha Pretoria na Johannesburg ndio jimbo lenye idadi kubwa ya magari kwa SA hilo jimbo kwa mwaka 2019 walikua na idadi ya magari 2.9 milioni yaliyosajiriwa sina taarifa za sasa kwa hiyo mzunguko wa uuzaji wa magari kwa Gauteng tu ni mkubwa sana na pia gari hiyo hiyo na mwaka huo huo hilo jimbo bei itakua juu kuliko majimbo hayo mengine yote kutokana na mzunguko mkubwa wa hela wa GP kwenye magari.
Inawezekana sababu ni jimbo kubwa la kibiashara
👌Magari ya mchongo,wizi toka gangster paradise