Magamba ya gogo hayabanduki mpaka upige shoka

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Kadiri vikao vya CCM vinavyozidi kuyoyoma, ndivyo wale waliokuwa na mtazamo hasi kuwa mh EL atavuliwa gamba sauti zao nazo zinaanza kufifia. Bila ya shaka nguvu ya upako inaanza kushika kasi sasa. EL Namfananisha na gamba la mti mkavu.
 
Back
Top Bottom