Magaidi wasihusishwe na Uislamu

na kule kibiti je ?,na kuvamiwa kwa kituo cha polisi cha staki shari je? na kulipuliwa kwa makanisa pale ari
urusha na geita je?,,,kule kuna balozi za marekani?
Hayo yote yangekuwa yanafanywa kwa mafundisho sahihi ya Uislamu basi hii dini ingekuwa imeshapigwa marufuku kuwepo hapa duniani. Kuwa na open mind ndugu yangu.

Bila kujadiliana zaidi kuhusu hayo uliyoyataja hapo juu mi nitakubali kuwa Uislamu ni ugaidi ikiwa na wewe utakubali kuwa Ukristo ni ugaidi mkubwa zaidi kulingana na mauaji makubwa zaidi yaliyofanywa kwa jina la Ukristo kupitia vita ya msalaba.

Ukimuna Imam/Padre amezini usiseme Waislamu/Wakristo ni wazinifu huo unakuwa ni ufinyu wa firkra na uzembe wa kutafakari mambo.
 
na kule kibiti je? kulikuwa na ubalozi wa MAREKANI?

ok!!,,vita ya msalaba ilitokana na issue hii,,,ujue wa2 wengi wanafikiri IS [ISLAMIC STATE] ni taasisi iliyoanza jana,no,,IS ilianza miaka mingi sana,chini ya KHALIF wa kwanza!! so ilipigwa JIHAD,,,UISLAM ukateka maeneo mengi sana kuanzia ITALIA,ROMANI,UFARANSA,AFRIKA KASIKAZINI YOTE mpaka SPAIN,,,so UKRISTO ukawa dominated!! kwa kwa siri sana,,,wapiganaji wa kikirsto wakiongozwa na MTAKATIFU VICENT[walimwita mtakatifu baada kufa baada ya kuongoza vita vya kikatil,roho mbaya {vita ya msalaba]ili kuyakomboa maeneo yote wliyoteka waislam chini ya kanisa la ORTHODOX,,,unaona bwana,,so wakati waislam wamerlax na kujiamini wameshashinda,majeshi ya kikristo yakawa yamejichimbia kwenye mapori ya POLAND na HUNGARY,,wakipitia mafunzo mchanganyiko wa makabila mbalimbali ya vita duniani,,waliomba msaada kutoka kwa wakufunzi kutoka kwa makabila kama wahindi wekundu,wachina,tajiksatn,belarus,wazulu n.k,,,{walipitia mafunzo magumu mno kwa sasa unaweza kusema kama MAKOMANDOO]....so,,,,,baada ya hapo wakaanzisha balaa,,,sasa kwa nini walifanya ukatili wote huo hao wakristo,ni kwamba wakati waislam wanapigana na kuteka walikuwa wanachinja bila huruma,,,sasa nao wakaona tulipize kisasi kwani kama ujuavyo waislamwakiwa vitani wakimkamata adui lazima achinjwe,tena kisu kiaanzia nyuma ya shingo,,,basi bwana,,,unaambiwa lilipigwa VANGA mpaka waisalam wakaachia maeneo,,,,,mimi sizungumzii dini naongea fact!!
 
Unaweza ku-share reference ya hizo fact zako?
 
Unaweza ku-share reference ya hizo fact zako?
tafuta mwenyewe mkuu!!,,,,,ok,ingia google ulizia historia ya vita ya msalaba,historia ya islamic state,achana na hii inayoelekea kufa,,,na jiulize kwa nini ukristo uliopo libya,misri,morocco, au tuseme mataifa ya kaskazini mwa afrika ni ORTHODOX!!,,,,,ok ipo siku ntafanya ivo,lakini unefanya mwenyewe ndo uneamini zaidi!!!,,,lakini sijui kama,unajua mtume MUHAMMAD S.W.S lipigana vita vitakatifu mpaka akaenda kuomba hifadhi kwa mfalme wa KUSHI ?[ETHIOPIA],,lizidiwa sana,,ETHIOPIA wakti huo nampka sasa ni taifa lakikristo chini ya ORTHODOX,,,mfalme akamwambia mtumishi aliyetumwa na MUHAMMAD ili kuomba hifadhi,,,,"bwana wako anaamini nini ktik IMANI?jamaa akajibu anaamini ktk MUNGU mmoja,,,basi mfalme akamkaribisha m2me!!....ingawa baadae sana UISLAM uliposhika kasi na kuenea maeneo ya sudan na somalia,,WAISLAM wakasahu historia KHISAN aliyofanyiwa m2me wao, wakaanza chokochoko kwa ETHIOPIA ndo manake mpaka kesho WAKUSHI hawawapi nafasi ya urafiki hata kidogo hawa wasomali na wasudan kwani wamegundua hawafadhiliki,,,,,ni rahisi sana kujenga msikiti ktk nchi yoyote yenye mfumo wa kikristo,,,lakini ni vigumu mno kujenga kanisa kwenye nchi za kiislam!!
 
Ni Wakristo hao tena wakiwa chini ya Marekani.
 
Kwahiyo reference yako ni Google? ... hapa ndo tatizo linapoanzia. Mi nimetaka wewe ndo ulete reference ili tuangalie vitu viwili, 1) Authenticity ya reference 2) Content yake na maelezo yake yana-reconcile vp na porojo ulizoweka hapo. Ikiwa historia kila mtu ataielezea inavyompendeza yeye basi hakutakuwa na historia tena.

Kuhusu mtume (SAW) kupeleka watu kupata hifadhi Habash (Ethiopia) hiyo ni kweli lakini sio kwamba walikuwa kwenye vita (sehemu kama ndo maana nikataka ulete reference ili ujifunze/useme ukweli kama ilivyo kwenye historia). Hii ni mada ndefu yenyewe lakini ninapopataka kwasasa ni hapa:-

Uliposema Mfalme Najash alipouliza kuhusu imani anayofundisha Mtume (SAW) na kujibiwa kuwa ni kuamini katika Mungu mmoja, hujasema ni kwanini aliuliza hivyo na response yake baada ya jibu hilo ilikuwa ni nini ...
1) alichora mstari chini kwa gongo lake aliloshika mkononi na akasema tofauti kati ya dini yenu na yetu ni nyembamba zaidi kuliko mstari huu. Hii inamaanisha nini? kwamba yeye alikuwa ni muumini wa mafundisho ya kweli ya Yesu/Issa juu ya Mungu mmoja na sio Ukristo mlionao leo wa kiroma.
2) Kwanini mtume aliwatuma wale watu wake waende specifically Ethiopia na sio kwengine kokote i.e Roma ama taifa jengine lolote ikiwa Ethiopia haikuwa super power na wala yeye Mtume sio mtawala anayeomba msaada kwa mtawala mwenzake? ... ilifuniliwa kwake kupitia Jibreel kuwa huyu ni mtawala mwenye haki na muumini wa kweli vitabu vilivyopita kabla yake (vitabu vyote vya kabla i.e. Taurat, Zaburi na Injili vina message moja nayo ni kuabudu Mungu mmoja)
3) Kuonesha msimamo wake wa support kwa hawa watu alimjibu yule mjumbe wa ma-quraysh (makafiri wa Makka ambao waislamu waliwakimbia kwa mateso yao juu ya waislamu) kuwa sitowakabidhi kwenu hawa watu hata mkinipa mlima wa dhahabu, na akamrudisha na zawadi zake alizokuja nazo kwake.

So in simple language, Uislamu haupingani na mafundisho ya vitabu vya Mungu vilivyokuja kabla bali umekuja kuthibitisha na kukamilisha muongozo wake, na hii ndo sababu Najash aliwapa protection waislamu kwa kuwa wote walikuwa kwenye imani moja.
 
ok,kama unaona google ni issue kanunue kitabu kinaitwa,,,,CROSS WAR VS ISLAM,,,,,,,kinauzwa 560,000....kinapattikakana hasa NAIROBI...fanya ivo
 
na kule kibiti je ?,na kuvamiwa kwa kituo cha polisi cha staki shari je? na kulipuliwa kwa makanisa pale ari
urusha na geita je?,,,kule kuna balozi za marekani?
na juzi benki za NBC na NMB chanika zimevamiwa na walinzi wa suma jkt wameuwawa,wauji wamejulikana kwamba mashehe,na hilo amethibitisha sheikh ponda,jana wamehukumiwa kunyongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…