Magaidi waishambulia Medina

Status
Not open for further replies.
Nasikia lengo lao ni kulipua kaburi la bwana mtume maana wanasema kuwepo pale ni ibada ya sanamu. Mujiandae watarudi tena kwa nguvu zaidi
hamna msikiti umeshambuliwa,lakini actually lengo la ISIS ni kuvunja misikiti ya zamani eti wanaamini kuwa watu badala ya kuabudi Mungu,wanaabudi makaburi ama hiyo misikiti mitakatifu,wao wanaona huko ni kuabudu sanamu.
Unajua ndoo maana wafalme wa saudi hawataki makaburi yao yajengewe,ili yasigeuke kuwa mahali pa kuabudia,
hiyo ndo imani ya hawa wahabiya,
kabla zilikuwepo tetesi kuwa saud ina mpango wa kulihamisha kaburi la mtume ila kwa kuhofia hasira ya waislamu duniani saud walikanusha,
so bado haya matukio usikute ni false flag tu,
 
Wapo watu humu huwatetea magaidi hawa kwa nguvu zote, sijui ktk hili watasimama upande gani
 
Kwa hiyo kabla Na baada ya Mwezi Mtukufu mnaweza kufanya hivyo.?
 
Wakati Ayatollah Khomeini alipokuwa anasisitiza kuwa serikali ya US ni shetani mkuu (big satan) tulikuwa tunambeza.
Leo tunaelewa kuwa US ndiye walieanzisha vikundi vikubwa vya kigaidi ambavyo vinaitetemesha dunia kwa sasa, navyo ni Al Qaeda na ISIS kwa kukiri wao wenyewe na si kwa kuwasingizia.

Tumeanza kuisikia ISIS huko Syria baada ya utawala wa Saddam Hussein kuondolewa huko Iraq.
Moja ya mbinu zilizotumiwa na US kuudhoofisha utawala wa Saddam ni kuwasaidia vikundi vya madhehebu vilete mtafaruku. Wamefanikiwa sana katika hilo.

Kwa uchache, mafanikio yao hayo ndiyo haya matokeo tunayoyaona leo hii.

Mwenye macho anajionea, mwenye masikio anasikia.
 
Kwa hiyo kabla Na baada ya Mwezi Mtukufu mnaweza kufanya hivyo.?
Kama uliambiwa Islam anageuka gaidi baada ya mwezi wa Ramadhani atafanya hivyo, mkuu baki na imani yako
 
Wakati Ayatollah Khomeini alipokuwa anasisitiza kuwa serikali ya US ni shetani mkuu (big satan) tulikuwa tunambeza.
Leo tunaelewa kuwa US ndiye walieanzisha vikundi vikubwa vya kigaidi ambavyo vinaitetemesha dunia kwa sasa, navyo ni Al Qaeda na ISIS kwa kukiri wao wenyewe na si kwa kuwasingizia.

Tumeanza kuisikia ISIS huko Syria baada ya utawala wa Saddam Hussein kuondolewa huko Iraq.
Moja ya mbinu zilizotumiwa na US kuudhoofisha utawala wa Saddam ni kuwasaidia vikundi vya madhehebu vilete mtafaruku. Wamefanikiwa sana katika hilo.

Kwa uchache, mafanikio yao hayo ndiyo haya matokeo tunayoyaona leo hii.

Mwenye macho anajionea, mwenye masikio anasikia.
 
Kwakweli hawa magaidi ambao wanakuja kwa mlengo kidini ni hatari sana maana wana uwezo wakuingia mpaka nyumba za ibada wakati nia zao ni mbaya.wenzetu waliwafuga na kuwasapoti sasa wanaingia mpaka ndani
 
Ugaidi hauna mtu.. yoyote anaweza kuitwa gaidi kulingana na matendo yake

Na hauna kwao popote panaweza kutokea Ugaidi
 
...
Leo tunaelewa kuwa US ndiye walieanzisha vikundi vikubwa vya kigaidi ambavyo vinaitetemesha dunia kwa sasa, navyo ni Al Qaeda na ISIS
for the very first time naona umekiri na kuvitambua hivyo ni vikundi vya kigaidi na si watetezi wa Uislamu...

.Tumeanza kuisikia ISIS huko Syria baada ya utawala wa Saddam Hussein kuondolewa huko Iraq.
Ni kweli lakini haimaanishi ugaidi ulianzia hapo..Ugaidi ulikuwepo middle east tangu miaka ya nyuma
Moja ya mbinu zilizotumiwa na US kuudhoofisha utawala wa Saddam ni kuwasaidia vikundi vya madhehebu vilete mtafaruku. Wamefanikiwa sana katika hilo.
Tutaendelea kuilaumu US mpaka tutakapojitambua,..naona vikundi vya madhehebu vinakuwa treated kama watoto wa dogo wasio na kosa lolote....Tambua Marekani wanajali ''Interest'' zao tu..

Kwa uchache, mafanikio yao hayo ndiyo haya matokeo tunayoyaona leo hii.
Mwenye macho anajionea, mwenye masikio anasikia.
..naona umeshusha lawama tu,lakini hujasema nini kifanyike wala kulaani tukio hilo...
 
Is ni vikund vilivyoanzishwa na wamagharibi kuupinga uialam duniani.kwa sababu action zao zoote zinafanywa ktk nchi za kiislamu
 
Putin nilimuelewa vizuri alipoongea na waandishi wa habari wa America
 
Thibitisha na mimi nitatoa vidhibitisho acha kutetea vitu ambavyo huvijui,Kuzaliwa ukiwa mwislamu hakumaanishi wewe unaujua Uislamu nimekwambia lete vidhibitisho
Labda ungelianza ww,
Namaanisha tuwekee uthibitisho kwamba uislam=ugaidi,na tuanzie hapo kwanza
 
hivi hawa jamaa wanachotaka hasa ni nini, kama wameweza kushambulia na Medina, hata sielewi lengo lao nini, manake sasa kwenye ukristo hawamo uislamu hawamo
 
.... Mwenye macho anajionea, mwenye masikio anasikia.
Nakuomba ufanye kitu kimoja angalau kwa tukio hili - toa kauli ya kuwalaani magaidi wa kiislamu wanaotaka kuvuruga dunia kwa matendo yao ya kishetani. Haikupata kusikika popote ukifanya hivyo ...
 
Hutoeleweka hata uposti huku upo uchi,
Kinachojulikana na kwamba msikiti wa mtume (masjid nnabiy) umelipuliwa na magaidi .
kwani hiyo picha huioni?,we sidhani kama unarank kuwa humu jf,inatakiwa uwe facebook au instar
 
Nakuomba ufanye kitu kimoja angalau kwa tukio hili - toa kauli ya kuwalaani magaidi wa kiislamu wanaotaka kuvuruga dunia kwa matendo yao ya kishetani. Haikupata kusikika popote ukifanya hivyo ...
Hao wanaofanya ivyo sio waislam muislam wa kweli hawezi kuwa gaidi bali hao wanaofanya ivyo wanachafua tu waislam kwa mathumuni yao. Dini ya kislam ni dini ya amani na upendo
 
Kushambulia Msikiti wa Mtume ni kitu ambacho yeyote anayejiita mwislamu hawezi japo kuwaza sembuse kufanya. Hawa ni mashetani kamili.

Nisaidieni. Tofauti kati ya hawa wa kule, mohamadi mwenye dini yake, wale magaidi waliochinja binadamu msikitini kule mwanza wakisema wanawatetea waislam wanaoshikiliwa na polisi, waislam waaoshikiliwa na polisi na waislam wengine ni ipi hasa? Naomba ufafanuzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…