Magaidi kutoka Nchi 22 walijiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel -IDF

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,260
Reaction score
40,441
🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine.

Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel IDF.

Declassified UK reveals the top nationalities serving Israel during the genocide in Gaza: British passport holders rank 6th among dual-nationals and 2nd among multi-nationals holding British, Israeli, and additional passports.
 
Attachments

  • 20260213_153657.jpg
    20260213_153657.jpg
    146.3 KB · Views: 5
Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine.

Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel IDF.

Declassified UK reveals the top nationalities serving Israel during the genocide in Gaza: British passport holders rank 6th among dual-nationals and 2nd among multi-nationals holding British, Israeli, and additional passports.
Hiyo yenyewe ni propaganda ya Israel kukuepo tuhuma za genecide.
 
Mkuu Israel kushambulia na kufanya mauaji gaza wala haihitaji msaada wa wanajeshi kutoka nchi nyingine maana lipo ndani ya uwezo wao

Pili hiyo attachment haina uthibitisho sababu yoyote anaweza kuandika.
Hamna lolote hao bila kusaidiwa wangecharazwa na bakora tu au mawe. Israel mnamkuza nyie kwa sababu ya udini wenu pumbafu mmoja.
 
🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine.

Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel IDF.

Declassified UK reveals the top nationalities serving Israel during the genocide in Gaza: British passport holders rank 6th among dual-nationals and 2nd among multi-nationals holding British, Israeli, and additional passports.
Nchi ni nyingi sana pia India, UAE, Morocco walikuwa wanawasaidia usisahau na wale wa bongo walio enda kusomea eti kilimo.
 
Hamna lolote hao bila kusaidiwa wangecharazwa na bakora tu au mawe. Israel mnamkuza nyie kwa sababu ya udini wenu pumbafu mmoja.
Sina vinasaba na dini ya uyahudi.

Ukiniambia Israel hana uwezo anakuzwa tu huo utakua ni uongo. Israel ana uwezo mkubwa sana.

Sishangai wewe kukataa lolote kuhusu Israel kwa maana mmoja alinidadavulia kuwa muislam hatakiwi kuisifia Israel kwa jambo lolote, Quran imeamrisha kuwa Israel ni adui wa uislam.
 
Kwa hio wewe unakataa sio mkristo wakati vitabu vyenu mlivyo jitungia vinawambia Israel eti taifa teule 😆
 
🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine.

Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel IDF.

Declassified UK reveals the top nationalities serving Israel during the genocide in Gaza: British passport holders rank 6th among dual-nationals and 2nd among multi-nationals holding British, Israeli, and additional passports.
IDF si kundi la wanamgambo mbwa wewe!!
 
Acha hakukuwa na mauaji ya kimbari huko Gaza labda tu hamjui maana ya Mauaji ya kimbari!!
Israeli ina silaha na uwezo wa kuua watu wote Gaza ndani ya siku moja kama ilikua na lengo la kuua wengi iwezekanavyo...kuua wachache ndani ya msongamano mkubwa na mchanganyikano mkubwa wa wanamgambo wa Hamas na raia inaonyesha uweledi mkubwa zaidi wa kijeshi kutoka IDF.
 
Back
Top Bottom