ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Jina la Mafwele limetajwa na kila mtu aliyetekwa na kufanyiwa ukatili
Kama ni mtumishi wa jeshi la polisi kwanini Rais au IGP hamsimamishi kazi japo kupisha uchunguzi wa tuhuma zake
Hivi askari aliyefunzwa na mzalendo atafanya mambo kama hizi tuhuma za Mafwele
Yaani kuteka, kuuwa, kupoteza
1. Boniface Mwangi
Huyu Raia wa Kenya, ametoa shuhuda kuwa Mafwele na genge lake walimteka kumtesa na kumlawiti hadharani huku wakiwa record na kumwamrisha amshukuru Samuya
2. Agatha
Huyu ni mdada kutoka Uganda, ametoa shuhuda kuwa Mafwele alimteka na kumpeleka mafichoni na kumpiga pia alifanywiwa kitendo cha kumbakwa
3 Sativa
Huyu ni Mtanzania ametoa shuhuda kuwa Mafwele alimteka na na kutoa oda ya kumpiga risasa ya shingo pia kumtupa porini aliwe na wanyama wakali
4. Hilda Newton
Huyu mwanaharakati nae anasema akiwa sello bila kupata sheria, Mafwele alikuja kumtesa na kumfanyia udhalilishaji wa kingono
Swali kwanini Mafwele hajawahi kukamatwa wala kuhojiwa?