Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,961
- 2,138
Licha ya mafuta kuadimika, maeneo ya kwetu kuna matatizo mengine ya ziada. Maji hayajatoka hii wiki ya pili, na umeme unakatika mara tatu kwa siku wiki hii yote (asubuhi saa 5 hadi 9; usiku saa 5 hadi 7 na asubuhi saa 10 hadi 11). Sijui ni sababu gani kwa kweli, sijui kama ni kutokana na uchakavu wa miundombinu au ndiyo tuko kwenye mtikisiko wa uchumi.

Utekelezaji wa ilani " kupunguza foleni za magari Dar"
Watanzania tuache ujinga tutakuwa mazoba mpaka lini??? TUAMKE ATIIIIAah! Tushazoea bana na yasiwepo tu.
Hata wakituuzia sh 10,000 kwa lita siye tumo na mafisadi tunawarudisha tena madarakani.
Ndio Watanzania tuna mioyo ya chuma.
Ma'mdogo hii ni kweli kabisa nadhani hili ni tatizo la Dar es salaam nzima, sijui mikoani hali ikoje, maeneo ninayoishi maji yanatoka usiku tuu, na umeme wamekuwa wakikata atleast once a day, nadhani kutakua na mgao wa kimya kimya.