Kuponda kichwa siyo kumuua, bado atakuwa anachezesha mwili hadi afe kabisa.Aseeee, sasa wanapataje hisia wakati nimesha ponda kichwa ana akawa motionless mkuu
Aiseee chalii yangu yanamadhara sana kwa nyoka kwasababu yana photosynthesisWadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a View attachment 1098760
Ushawahi kung'atwa na nyoka?Afrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Mkuu, hospitali zetu nyingi (ata ukibahatika kuwa karibu na hospitali) hazina anti-venom ikitokea umeng'atwa, sasa huo mda wa kumtafiti kama ana madhara ama hana utatoka wapiAfrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!
Teh tehAiseee chalii yangu yanamadhara sana kwa nyoka kwasababu yana photosynthesis
Huwa ina kera sana -binaadamu huwa tunadhani kuwa sisi pekee ndio tuna haki ya kufurahia maisha katika huu ulimwenguAfrika bhana!! Ukimkamata nyoka mpeleke msituni na siyo kumuua!! Unawezaje kuua kiumbe ambacho hakina shida na mtu?!!