Mafuta ya taa yana madhara gani kwa nyoka?

coyyote

Member
Aug 12, 2018
53
87
Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a
20190515_213456.jpeg
 
Kuna siku nyoka aliingia ndani nikamtafuta bila mafanikio, badae nikakumbuka kuhusu mafuta ya taa nilichofanya nilimwaga ndani kidogo, aise sitasahau speed aliyotoka nayo nje ndio nikamuua
 
Back
Top Bottom