KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,609
K-Y jelly ni kwa ajili ya kulainisha njia ya uzazi kwa wanawake wanapokuwa wanatatizo la uzazi pili inatumika kwa madakitari wanapotaka kumpima mtu mwenye Tezi dume ulainisha njia ili kidole kiweze kupenya nakugundua tezi dume kama limekua au lah.hayo ndo matumizi halali ya K-Y jelly kama inatumika ndivyo sivyo ni uhuni kama wale wanao hack password za watu huu ni uharifu kama uharifu mwingine!!:lol::lol: