Mafuta ya KY-Jelly: Ni yepi matumizi yake sahihi?

K-Y jelly ni kwa ajili ya kulainisha njia ya uzazi kwa wanawake wanapokuwa wanatatizo la uzazi pili inatumika kwa madakitari wanapotaka kumpima mtu mwenye Tezi dume ulainisha njia ili kidole kiweze kupenya nakugundua tezi dume kama limekua au lah.hayo ndo matumizi halali ya K-Y jelly kama inatumika ndivyo sivyo ni uhuni kama wale wanao hack password za watu huu ni uharifu kama uharifu mwingine!!:lol::lol:
 
Chukua hiyo kitu ukalainishe "jicho chongo"
 

Attachments

  • GG.jpg
    GG.jpg
    6.1 KB · Views: 2,134
  • GGG.jpg
    GGG.jpg
    7.3 KB · Views: 670
  • GGGG.jpg
    GGGG.jpg
    8.2 KB · Views: 2,036
Nimepita nyumbani kwa rafiki angu wa kike kumsalimia, katika moja ya vitu nilivyoona kwenye dressing table yake ni KY jelly, sasa nilishasikia story za hyo mafuta, ila sijathibitisha, kuna yeyote anayejua matumizi yake kiundani?
Wewe ni mtoto au mdogo wake Katavi??
 
Last edited by a moderator:
Nimepita nyumbani kwa rafiki angu wa kike kumsalimia, katika moja ya vitu nilivyoona kwenye dressing table yake ni KY jelly, sasa nilishasikia story za hyo mafuta, ila sijathibitisha, kuna yeyote anayejua matumizi yake kiundani?

Mkuu ni vilainishi vonavyotumiwa na MSM (Men who have Sex with Men) pia hutumiwa kwa wanawake wanaotumia tundu la tope wakati wa kijamiana. wengine waongezee!
 
Nimepita nyumbani kwa rafiki angu wa kike kumsalimia, katika moja ya vitu nilivyoona kwenye dressing table yake ni KY jelly, sasa nilishasikia story za hyo mafuta, ila sijathibitisha, kuna yeyote anayejua matumizi yake kiundani?

Kainunue halafu usome insert!!
 
Unge soma wameandika nini matumizi yake kwenye hilo kopo la KY
 
Yanaondoa chunusi,upele,harara,muwasho,pia yanafanya ngozi iwe laini na nyororo kama ya mtoto mchanga!
 
Hutumia na madaktar wakat wa catheterization na per rectal examination, hata pia kwenye rectal prolapse exposed kwa muda, unapaka pembeni ili wakat inarudishwa patient aspate maumivu mengi maana hii jelly ni salama kuliko nyingne zote
 
Umemalza Yote Mkuu gungele Hyo Ndo Kaz Yake Hawa Wengne Wamebun Kaz Mpya Ambazo Hazkuidhinshwa Nayo
 
Last edited by a moderator:
mh!!! Wakubwa hiyo kali sana.. Mpaka mafuta ya mkia wa kondoo ........kwiiii..kwi..kwi..

hayo naweza nikakubali kwani ni dawa nzuri ya tetenas wazee wanatumia pia kunywa hayana madhara yakiingia ukeni.lakini ukikosa ky jelly usithubutu kilainisho kingine kama baby care ni hatari maana yana chemicals si far is not special as sexual contact lubricant.....jf oyeeee.
 
Yanatumika tofauti ss hiv kwa wale wazee wa barabara ya vumbi ndio wenyewe badala yatumike kwenye lami
Hayo mafuta sio mchezo hata ukipaka kwenye Tundu za PUA au SIKIO bac MBOOwe inapita bila wacwac
 
Haya mafuta yana nafasi gani katika kupunguza uwezekano wa kupata magojwa ya STD ukiunganisha Ukimwi?

All i knw ni kwamba hasa yanalainisha na kupunguza michubuko sehemu za siri.
Kingine kupaka kwenye condom uli iwe rahisi kuingia.Kuna reason nyingine beyond that?

Good day

maelezo uliyoyatoa hapo ndo kazi yake husika
 
Ni kwa ajili ya wamama ambao umri umesogea na maeneo yamekauka.......kulainisha koromeo.
 
Back
Top Bottom