Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 343
Haya mafuta yana nafasi gani katika kupunguza uwezekano wa kupata magojwa ya STD ukiunganisha Ukimwi?
All i knw ni kwamba hasa yanalainisha na kupunguza michubuko sehemu za siri.
Kingine kupaka kwenye condom uli iwe rahisi kuingia.Kuna reason nyingine beyond that?
Good day