Mafuta ya KY-Jelly: Ni yepi matumizi yake sahihi?

Nimepata kusikia sikia kuhusu KY jelly, ni yepi matumizi halisi ya hii jelly.
 
Intimate personal lubrication.. Lubricating condoms.. Supplementing natural feminine moisture.. Easing the insertion of tampons.. rector thermometers.. enema & douches..

KY gel provides a safe and effective way to supplement feminine moisture that feels natural and helps enhance sexual pleasure..

Satisfied..?
 
Hii tunatumia kuingizia catheter kwenye urethral ili usipate maumivu. Hutumika kama lubricant. Pia hutumika kupimia anus kama kunaugonjwa mfano rectal tumor au BPH

Ahsante kumjibu pia hutumika wakati wa kuingiza mpira wa chakula kupitia puani kwenda tumboni kwa mgonjwa
 
KY Jelly ni lubricant ambayo hutumika katika kumima mgonjwa kwenye orifices. Lakini pia waweza kutumia unapo jamiiana na mwanamke mwenye utupu mkavu. Simple enh......? Collect your informations before posting a question.
 
Bado wanakuja subiri,kuna matumizi mengi tu,mpaka utajutia kwanini uliuliza hilo swali.
 
we ulikuwa unajua yapi? acheni story za vijiweni, hayo matumizi uliyoyasikia vijiweni ni ya kufoji tu hata wakati wa kujifungua umsaidia mama mzazi kujifungua kirahisi
 
Wala usiogope mkuu! We nenda kwenye yale maduka wanayouza hii kitu then nunua..usijishtukie kama unavyofikiria! Ina matumizi mengi!
 
Back
Top Bottom