Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

Hayo mafuta ya kula yenyewe tu yanatengeneza sumu kwa kutumika kwenye moto muda mrefu kukaangia hizo chips.

images.jpg
 
Jana nilikuwa mlimani mafuta ya alizeti lita kumi nimeona 98000
Inawezekana kutokana na maeneo na brand husika mkuu.
Ila kiukweli mafuta yako juu mno, unga wa ngano pia umepaa.
Kuna baadhi ya maeneo nauli pia zimeongezeka mpaka mara 2 ya nauli ya awali.
 
Viazi na mayai vikipanda bei hupelekea bei ya chips kuongezeka kwasababu hz ndo malighafi muhimu kwenye mapish ya chips..
 
Waendelee kutupikia hizo chips..mengiene yatajulikana mbele kwa mbele😂😂😂
 
Mafuta ni ishu ndogo sana kwenye biashara ya vyepe, tatizo lingetokezea endapo bei ya viazi na mkaa au gesi ingepanda mara dufu
 
Back
Top Bottom