Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Hapana mim ninayo hua napaka mwilini peke ake nachanganya na serum.....Alfu usoni napakaa kadude hv ka elf 5Hivi siku hizi hawachakachui?
Hapana mim ninayo hua napaka mwilini peke ake nachanganya na serum.....Alfu usoni napakaa kadude hv ka elf 5Hivi siku hizi hawachakachui?
22,000Pesa ngap hiyo inaenda bebi?
Asante, unapaka mwili mzima sio? Au usoni tu22,000
Unahitaji kung'aa tu au kutoa madoa?
Unataka kupaka hiyo?
KutoA madoaUnahitaji kung'aa tu au kutoa madoa?