Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,453
- 2,404
Bila kupepesa macho hapa tukiri tuu kuwa namba inasomeka kisawasawa.
Kuanzia dec 05 bei zimebadilika ambapo bei ya chini ambayo ni mkoani dar kwa petrol ni 2436 kwa lita. huku diesel ikiwa 2436 kwa lita, bei hii kama kawaida yake hupanda kulingana na umbali ambapo hadi tabora bei ni 2591 kwa lita na hapo hatujafika kigoma hadi bukoba wala maeneo mengine ya mbali.
Wakuu wembe ni Ule ule na namba ni zile zile lazima tuzisome.