Kwa tafsiri fupi tu ya kitaani utapeli, ni mtu mmoja kujipa madaraka juu ya kisicho chake na kujimilikisha au kukiuza. Yani ukisema nimetapeliwa mtu anaelewa kuna mtu kakuzidi kete kwenye kitu chako kwa kukifanya chake au kakuuzia kitu kisicho chake. Changa la Macho!!
Nasikia maumivu ya kichwa kwa mbali. Ina maana mtu akiuza nitu chako eg nyumba bila idhini yako mwenye mali yule aliyenunua atakuwa anamiliki kihalali?
Mafuru hapo amejichanganya sana, anasema mwenye maamuzi ya mwisho uuzwaji wa hisa ni CABINET chini ya RAIS. Na hawakutaarifiwa ILA Masaburi na wenzake watatu wakauza kisa CABINET walikuwa taratibu kuwajibu!! Really?
Hapo wana set very bad precedent.
Hivi kweli urudi ukute nduguyo kauza nyumba yako kisa kila alipokuwa anakutaarifu juu ya uchakavu ukawa huchukui hatua, utachukuliaje hilo swala? Kwamba aliyenunua kapata kiharali au kamtapeli mnunuzi?
Masaburi na hao wenzake watatu ni matapeli kwa kuuza kitu kisichokuwa chao. Na je, kosa la utapeli adhabu yake ni nini?
Msipowachukulia kama matapeli maana yake hata Headmaster wa shule ya serikali kama hajibiwi na wizara ya elimu juu ya kudorora kwa shamba la shule, kwa kushirikiana na kamati ya shule wanaweza kuuza kipande cha ardhi cha shule.