GPA halali sio ujasiri. Wapo wasomi kibao na GPA zao halali waoga sana. Ni ujasiri tu wa mtu mkuu.Ukisoma na kupata GPA yako kihalal raha sana...unakuwa huogopi...unamchallenge ata boss wako sio wale walioungaunga elimu...chuon GPA za chabo
We ndio umekosea!Sidhani..nafikiri hajui alichoandika..kwa tafsiri yangu..hiyo mistari ya mwisho amejipiga kijembe..kwamba ameshindwa kutumia busara zake kuchagua mahali pa kuongea/ kusema hicho alichosema ambacho kimekuwa catalyst ya kuondolewa kwake..ni maoni yangu tu.
He seem to be wise person, he knew when to open his mouth!! Indeed it was the right moment.It seems he lack wisdom,he didn't know when to open his mouth!
Escrow hiyo ambayo magufuli anailipa hadi leoAkwende zake hapa, hata ningekuwa mim ningemtimua, wewe bosi alishasema pesa zetu zisiwekwe FDA, hiyo ilikuwa ni amri kutoka kwa raisi, sasa nyie na kakundi kenu mkasahau kwamba rais wa sasa hivi hana site mirror.
Yani nikikumbuka pesa za tegeta escrow zilivyotoka BOT zinanipa hasira mtu anapotokea na kusema FDA haiwezi kuliwa!!
Thank you for telling us nothing.Mafuru has very limited knowledge of even to understand the concept of knowledge itself.
Knowledge also means someone who has awareness and consciousness.
Awareness in terms of perception of situation or facts. he mentioned government institutions that have surplus (which are own source of revenue he gave example of SUMATRA) which they can use to place it on FDAs.
He should have gone on to emphasise in that Morning Show, difference between these surplus and the revenue generated from tax collection (in case of TRA) which were used to open the FDAs.
He also lacks knowledge of consciousness which means at that particular subject he was talking about, he didn't have executive control system of his mind which would alert him of the sensitiveness of the matter and any cautious response to it.
That was the reason the newspapers and other news outlet were able to distort the facts regarding what actually the president meant on using FDAs for government agencies.
Mr Mafuru also lacks the knowledge in terms of acknowledging the facts about the existence, validity and legality of the fifth phase government of president Magufuli and it commitment towards controlling public expenditure to match its revenues.
He lacks class, and he should have known better and he failed and the only way forward is to step aside.
Sidhani..nafikiri hajui alichoandika..kwa tafsiri yangu..hiyo mistari ya mwisho amejipiga kijembe..kwamba ameshindwa kutumia busara zake kuchagua mahali pa kuongea/ kusema hicho alichosema ambacho kimekuwa catalyst ya kuondolewa kwake..ni maoni yangu tu.
Kavimbiwa pesa za madili huyo.Apumzike tu.. alishakula sana inamtosha..!!
Kujiamini ndio mpango mzimaaUkisoma na kupata GPA yako kihalal raha sana...unakuwa huogopi...unamchallenge ata boss wako sio wale walioungaunga elimu...chuon GPA za chabo
Mafuru naye ni jiwe kuu la pembeni? Kwenye nyumba ya nani? May be ndiyo maana WAASI wamelikataa
Hivi MADARAKA na UTUMISHI ni sawa? nauliza tuHII MIJIITUU ILIZOEAA ITAISHII MADARAKANI MILELE IMEFIKAMDAA WAACHIE WENZAKE ALLAH AANDIKE HUKUU AKISUBIRI KAZI NIYNGINE
AJUEE HATA UCHUNGUZI N KAZII NYINGINE
Hizi semi hazina faida huku Dunia ya tatu...
Waasi ndio WAASHI?Jiwe waliokataa waasi sasa limekua jiwe kuu la pembeni..
Sasa unapenda WAASI walikubali?Mafuru naye ni jiwe kuu la pembeni? Kwenye nyumba ya nani? May be ndiyo maana WAASI wamelikataa
Nilivyomwelewa,our president lacks both knowledge and wisdom.He just spoke the issue of FDA in a layman's thought.(Knowledge is knowing what to say&Wisdom is knowing when to say)Sidhani..nafikiri hajui alichoandika..kwa tafsiri yangu..hiyo mistari ya mwisho amejipiga kijembe..kwamba ameshindwa kutumia busara zake kuchagua mahali pa kuongea/ kusema hicho alichosema ambacho kimekuwa catalyst ya kuondolewa kwake..ni maoni yangu tu.