Mafuru: Knowledge is knowing what to say...

Mafuru: Knowledge is knowing what to say...

Ni mpuuzi sana na andiko lake ni kutokana na kupanic. Kama wisdom ni knowing when to say basi namshauri siku nyingine aongeze na 'where' to say it. Yeye kama ni wiser enough basi alitakiwa ajue alikokwenda kutolea tuhuma zake haikuwa sehemu sahihi kwa nafasi aliyonayo. Alikuwa kama refa anayechezesha mpira kwa kuwafata mashabiki wakati yeye ana kanuni zinazomuongoza. Asijionesha kihiyo kiasi cha kushindwa kujua kwamba taratibu za kazi zina communication frame work serikalini, na taasisi ya umma haindeshwi kama unavyoongoza nyumbani kwako.

Sitaki kusema sana lakini kama kweli ni msomi basi namkumbusha akaisome upya kozi ya Public Administration na Management.
Vipi bukoba zile rambirambi mlifanikiwa kupewa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mungu anakuona, usimfanyie hivo nwenzio. I think it was just a typo
Nilikuwa namchokoza tu mkuu. Maana kuna typo zingine yaani zimekaa patamu kiasi kwamba kuzi-ignore ni vigumu sana. I failed on this one [emoji23][emoji23][emoji23]
 
GPA halali sio ujasiri. Wapo wasomi kibao na GPA zao halali waoga sana. Ni ujasiri tu wa mtu mkuu.
Sawa lakin ujasir unakuja pale unaposimamia kitu unachokiamini na unakielewa...ukiambiwa fixed acc n ufisad kama unajiamin utapinga..kama hujiamin sasa...utasubir awamu iishe
 
Sasa hiyo misemo yake inasaidia nini? Nani ana mda nayo. Yeye keshatumbuliwa aache kuweweseka
Watu kama Mafuru huwa hawakosi kazi...utamsikia kaajiriwa sehem nyingine
 
Back
Top Bottom