Mafuru: Knowledge is knowing what to say...

Mafuru: Knowledge is knowing what to say...

Sidhani..nafikiri hajui alichoandika..kwa tafsiri yangu..hiyo mistari ya mwisho amejipiga kijembe..kwamba ameshindwa kutumia busara zake kuchagua mahali pa kuongea/ kusema hicho alichosema ambacho kimekuwa catalyst ya kuondolewa kwake..ni maoni yangu tu.
... Umemsoma juu juu, kuusema ukweli hata kama haupendezi na utahatarisha mustakabali wako ndiyo alichomaanisha...
 
iwamusani said:
Hizi semi hazina faida huku Dunia ya tatu...

"Time will come" kwa sasa huwezi kumuelewa. simply unapotoa matamko si kila wakati unatakiwa uropoke Tu, zungumza unachokifahamu na ukiwa na hekima utajua ni wakati gani wa kuzungumza. Mtu anazungumza jambo halifahamu na mbaya zaidi katika kipindi ambacho watanzania tunaona hali halisi.
 
Kwenye ukurasa wake wa Twitter ameandika

" Knowledge is knowing what to say, wisdom is knowing when to say"

Chanzo: Azam news

Mafuru has very limited knowledge of even to understand the concept of knowledge itself.

Knowledge also means someone who has awareness and consciousness.

Awareness in terms of perception of situation or facts. he mentioned government institutions that have surplus (which are own source of revenue he gave example of SUMATRA) which they can use to place it on FDAs.

He should have gone on to emphasise in that Morning Show, difference between these surplus and the revenue generated from tax collection (in case of TRA) which were used to open the FDAs.

He also lacks knowledge of consciousness which means at that particular subject he was talking about, he didn't have executive control system of his mind which would alert him of the sensitiveness of the matter and any cautious response to it.

That was the reason the newspapers and other news outlet were able to distort the facts regarding what actually the president meant on using FDAs for government agencies.

Mr Mafuru also lacks the knowledge in terms of acknowledging the facts about the existence, validity and legality of the fifth phase government of president Magufuli and it commitment towards controlling public expenditure to match its revenues.

He lacks class, and he should have known better and he failed and the only way forward is to step aside.
 
... Umemsoma juu juu, kuusema ukweli hata kama haupendezi na utahatarisha mustakabali wako ndiyo alichomaanisha...
Hiyo ni tafsiri yako kama na mimi nilivyoweka yangu..hongera kwa kumsoma chini chini.
 
Atulie wakati sindano inamuingia polepole........

Na nashauri hakuna haja ya Kazi nyingine ..............

Hivi kwanini wanapenda kupiga dili wakati hawana uwezo wa kuhimili the outcomes?......
Sidhani kama ni kweli kuwa Mafuru ameshindwa kuhimili outcomes. Kwani nini hasa kilichokuthibitishia kuwa Mafuru ameshindwa kuhimili outcomes???
 
Sidhani kama ni kweli kuwa Mafuru ameshindwa kuhimili outcomes. Kwani nini hasa kilichokuthibitishia kuwa Mafuru ameshindwa kuhimili outcomes???

Mafuru ana dharau na uamuzi wa kumuondoa hapo hazina upo sahihi kwa asilimia 100.

CC: Lunyungu.
 
HII MIJIITUU ILIZOEAA ITAISHII MADARAKANI MILELE IMEFIKAMDAA WAACHIE WENZAKE ALLAH AANDIKE HUKUU AKISUBIRI KAZI NIYNGINE


AJUEE HATA UCHUNGUZI N KAZII NYINGINE
Ujuha au upumbavu
 
Safi,maadui wanaongezeka kumbe si wananchi wanyonge tu na hawa pia.
2020
 
Kwenye ukurasa wake wa Twitter ameandika

" Knowledge is knowing what to say, wisdom is knowing when to say"

Chanzo: Azam news
Hahaaaaaaaaaaaaa amesahauuu kusomaa nyakatiii sanaaaa amekula alichopandaaa
 
hiooooo
 

Attachments

  • IMG_20161208_213826.jpg
    IMG_20161208_213826.jpg
    11 KB · Views: 43
Back
Top Bottom