Serikali imefunga barabara ya Moro-Dom kwa muda usiojulikana kufuatia kubomoka daraja la Dumila, yashauri wasafiri kutafuta njia nyingine.
Source: Mwananchi breaking news
Kumetokea mafuriko makubwa huko Dumila na kusababisha kutopitika kwa barabara ya Morogoro-Dodoma. Mpaka sasa watu ni wengi na magari pia. Mkuu wa mkoa anaelekea eneo la tukio.
SOURCE: RADIO ONE
dah bahati mbaya ni radio, tungepata picha ingekuwa bomba. najisemea tu jamani.
Haya tumeskia mawazo yako!dah bahati mbaya ni radio, tungepata picha ingekuwa bomba. najisemea tu jamani.
Duh ebana kama siamnini vile,nimepita hapa Jumapili wakati natoka likizo na tukasimama na kubahatisha vimahindi vya kuchoma leo pamekuwa hivi!!poleni sana wananchi wa Dumila.:mod:View attachment 133730Pic credit: UMOJA VILLAGE
Inatia huruma! Sijuwi Mr. pombe mkufuri yupo?