gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Na kumiliki sio kuendesha tu!Mkuu dunia ya sasa kujifunza kuendesha gari ni muhimu.
Hata Kama hauna gari.
Na kumiliki sio kuendesha tu!Mkuu dunia ya sasa kujifunza kuendesha gari ni muhimu.
Hata Kama hauna gari.
Vp una gari yako unataka niwe naendesha?Kwahiyo ss hivi ww ni mtaaalamu wa manual bibie
Dahhh...Duuh!! Mbona kitu cha kawaida sana siku hizi hicho.
Na ndio sababu waendesha magari wamejaa tele huko barabarani.
Hamna Ushimen japo nimesikitika tu yaani maana ujue lile uliloandika ni dongo. 🤣Dahhh...
Leo mnanisimanga sana humu, kisa tu sijui kuendesha gari walahi...
Umaster niliupata mbelembele huko baada ya kuendesha mara kwa mara na pia kujigonga gonga sana huko manjiani + changamoto za madereva wengine barabarani.K
Hivi wewe ulichukua muda gani vile mpaka uka master kabisa mwenyewe? Maana kuna wenye vichwa vigumu hata miezi sitaaa
Ndiyo mkuu...teh[emoji28]Vp una gari yako unataka niwe naendesha?
.......[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hamna Ushimen japo nimesikitika tu yaani maana ujue lile uliloandika ni dongo. [emoji1787]
😀😀😀 huu ni zaidi ya uongo Ushimen. Mana hadi vijijini siku hizi watu wana mausafiri yao.Nashangaa sana mkuu, yaani huku kwetu hata gari linapita mara moja kwa wiki wakati linapeleka wana kijiji mjini
.........[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3] huu ni zaidi ya uongo Ushimen. Mana hadi vijijini siku hizi watu wana mausafiri yao.
Kwa hiyo ulishalipishwa faini kibao🤣🤣🤣Umaster niliupata mbelembele huko baada ya kuendesha mara kwa mara na pia kujigonga gonga sana huko manjiani + changamoto za madereva wengine barabarani.
Hapana. Kuingia gharama za kunyoosha gari.Kwa hiyo ulishalipishwa faini kibao🤣🤣🤣
Ndio ukubwa huo love🤣🤣🤣Hapana. Kuingia gharama za kunyoosha gari.
Kujua kuendesha gari ilikua dili wakati ule magari ni machacheHumu kila mchangiaji anajuwa kuendesha gari, hadi mdomo wangu umebaki wazi...teh
Yaani hamna kitu rahisi kuendesha kama hikiKaribuni na huku View attachment 1239840View attachment 1239842
Humu kila mchangiaji anajuwa kuendesha gari, hadi mdomo wangu umebaki wazi...teh
[emoji3][emoji3][emoji3] huu ni zaidi ya uongo Ushimen. Mana hadi vijijini siku hizi watu wana mausafiri yao.