Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,707
- 128,343
😅😅😅😅Mimi sina usafiri na nakaa kijijini tena huku mwenye gari ni mwalimu mkuu wa secondary sijui mnamwita head nin sijui
😅😅😅😅Mimi sina usafiri na nakaa kijijini tena huku mwenye gari ni mwalimu mkuu wa secondary sijui mnamwita head nin sijui
Sawa mkuu, nami ngoja nijimwambafy hapa....[emoji28][emoji28]View attachment 1239767
Dahhh...
Leo mnanisimanga sana humu, kisa tu sijui kuendesha gari walahi...
Mpwa, nawewe unaweza hili zowezi linalo itwa ku drive kwa lugha ya bepari...!!??nami. mpwa wako hapa siko mbali na masimango hayo.